Sheikh Kipozeo: Tujikite katika hoja sio kuanza kumtafuta mtoa hoja

Mtihani sheikh
Mtihani kweli kweli shekhe. wakili Mwabukusi anasema tusiogope tuseme., limkataba ni takataka ni la UJASIRI wa KIFISADI. Limetengenezwa humu humu ndani na team mama Abdul. Wanaotetea UFISADI wanataka tukomae na UDINI ili wajimilikishe raslimali za Tanganyika. Nakihurumia sana kizazi kijacho cha Tanganyika. #OkoaBandariZetu
 
Kuna mashekhe wengi wamekumbwa na bahassha, wameongea unafiki mkubwa, sikujali. Lakini Hustahadhi Mazinge nimeumia sana. kama muslimu niliehuzuria mikutano ya HADHARA toka miaka ya 90’ tukislimisha watu. Moyo wangu umenjika 😭😭
#OkoaBandariZetu
 
Mzee mwenyewe wa mizigo [emoji23]
 
Nani alisema.kuwa Islam hawana akili?
Tujadili hoja
 
Dubai Port World Kwisha Habari Yao Na Ccm
 
Kwa taarifa yenu hata ingetokea TEC ikakalishwa 'meza maalum' na ikafanya 'handshake' na Serikali na ikafuta tamko, sisi watanzania hatutorudi nyuma, tutaendelea kuukataa Mkataba hivyo tutakomaa na maslahi ya nchi mpaka kieleweke[emoji419][emoji375]
 
Sheikh Kipozeo atabakia kuwa mtu maarufu milele. Maana hajawahi kuwa mnafiki. Namkumbuka sana kwenye ule msemo wake wa kusifia wanawake waliobarikiwa neema za Allah.
 
Huyu Sheik lazima atafukuzwa na BAKWATA
 
Hoja za kwamba mkataba unafaa zisikilizwe.
Hoja za kwamba mkataba haufai zisikilizwe pia.
Mwisho hoja sahihi zifanyiwe kazi simple sana.
Unahitaji kuwa mwendawazimu kuamini huo mkataba ni mzuri ,mkataba ulipatikana kwa rushwa ,kama huwezi zingatia maslahi ya nchi kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…