Sheikh : Majini/Mapepo ni ndugu zetu kabisa na wanamwabudu Mola wetu. Tunaishi na kuswali nao

Sheikh : Majini/Mapepo ni ndugu zetu kabisa na wanamwabudu Mola wetu. Tunaishi na kuswali nao

hao mashehe wote wanalipwa na arabs, irans, pakis wanaomiliki karibia biashara zote na lengo is to keep black people backward and stupid ili wasiweze ku-focus kwenye mambo ya msingi ambayo yanaweza kuwaamsha na kuidai nchi yao mwishowe kuinuka kiuchumi, ni kama shehe mwaipopo tu wote wako kwenye payroll, muslim elites need stupid populace ...
 
Mungu kwa roho safi kumuumba nguruwe, lakini nashangaa waislamu tunamchukia kiumbe huyu mzuri aliyeumbwa na mola wetu
 
Kukataa kula nguruwe halafu ukabugia ngamia na aina za samaki waliokatazwa nao huo ni uzuzu sugu tu.
Bora hata tungekuwa tunakataa tu kula huyu kiumbe mwenye nyama tamu, bali pia hatupendi kumuona kabisa.

Sasa najiuliza, iweje kiumbe kilichoumbwa na mungu tukichukie kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom