Sheikh Mawinda: Isifike mahala mkaona amani ni upuuzi puuzi tu,ety tukinukishe baada ya hapo utaenda wapi?

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, leo Julai 5, 2025 amehutubia mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa hema jipya la Askofu Mwamposa (Arise and Shine).

Katika hotuba yake, Mawinda amesisitiza kuwa Watanzania wanapaswa kulinda amani ya nchi yao, wasiiharibu wala kuruhusu wengine kuivunja. Amesema amani ni msingi wa maendeleo na ustawi wa taifa.

Rubbish, kuna amani gani? Kwa vile unashiba wali , basi unaona kuna amani, mpuuzi mkubwa
 
Back
Top Bottom