Sheikh Mawinda: Sikumaanisha Lissu auawe

Hata ajiteteeje! Alimaanisha hivyo.
Kajishtukia ama Kuna kitu kashtukia linaweza kumkuta jambo ...kaona ajiwahi mapema ...too late. .Kuna consequences kwa kauli Ile .
 
Hawa masheikh huwa wanawapata wapi au mtu tu mwenye ujasiri wa kuongea na kufuga mandevu kama kichaa huko msikitini anapewa usheikh
 
...akirejea kauli aliyowahi kuitoa Lissu ya kukinukisha na kusema kuwa amefikishwa mahakamani ili kuipima. "Acha mtu akate kichwa chako lakini nchi hii ibaki salama," alisema.
Na huyo shekhe Mawindo pia inafaa aburuzwe mahakamani ili kauli yake ya "kukata kichwa" ikapimwe huko, au mkuki kwa nguruwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…