Sheikh mkuu mkoa wa Dar aonya maneno ya Lukuvi kutafsiriwa vibaya

Sheikh mkuu mkoa wa Dar aonya maneno ya Lukuvi kutafsiriwa vibaya

Hakuna cha sheikh ni vibalakashia tu hp,
Kanunuliwa huyo kwanza mm ni muislam ila siwez kuiamin bakwata hata cku moja wanatumika na wanapotosha,
INNA LILLAH WAINNA ILAYH RAUNA!!
 
Tanzania hakuna lisilowezekana,adui aweza kuwa rafiki,na rafiki aweza kuwa adui,Pesa ni Adui wa Haki,mwenye pesa anaweza lazimisha chochote na kikawa atakavyo pasipo kujali wengi wanaathilika na vitendo na kauli zake.
 
Yule sio shehe ni shehena iliyojaa zulma kwa kuwasaliti waislam wenzake kwa faida yake na kizazi chake.yupo pale kwa matakwa ya ccm na serekali ovu wanayo iongoza.
 
bakwata ni tawi na kichaka cha ccm, mashekhe wengi wa bakwata ni wanachama au viongozi wa ccm mtakapoamu kupambana na ccm mpambane pia na matawi yao
 
Sheikh anahaha kukiokoa chama chake ccm. Hata mtt mdogo anajua lukuvi aliropoka maneno ya UKWELI lakini pia ni hatari kwa mustakabali wa taifa. Sio kila ulionalo linafaa kuongea.
Lukuvi alisema jambo la kweli ila kosa kubwa hadhara ya kanisani sio sahihi. Amewapa kazi wadakizi wanaoishi kwa uchochezi wa kidini na wale wasioisha hisia za kidini.
 
'WATU' wameishaanza ku'foam' kama wamelishwa omo!
HEBU RUDINI KWENYE MADA BANA!
MFUMO KRISTU, MFUMO KRISTUUU, HEBU ACHENI UKASUKU!
Yowe za mfumo kristooooo ni kiini macho cha kuzugazuga watu ile wenye mikakati yao ya kupenyeza chuki za udini wajihalalishie fitina zao.Wapi umeona mfumo kristo ambapo kwenye petrol stations na viwandani kumejengwa nyumba za kuabudia.tujiulize viwanda hivi au petrol stations vimepewa leseni za kuendesha ibada au biashara.Au zipo radio za kiimani ambazo kazi kubwa ni kuwekka mijadala na fitina za kisiaasa.Tujiuleze kwa nini vyombo haviendi kwa msajili wa vyama vya siasa na kujiandikisha rasmi.
 
bakwata ni tawi na kichaka cha ccm, mashekhe wengi wa bakwata ni wanachama au viongozi wa ccm mtakapoamu kupambana na ccm mpambane pia na matawi yao
Kwa hiyo shehe wa BAKWATA wa Mkoa wa Dar es Salaam hakuanza leo ukada wake wa CCM, kwa nini asingekaa kimya akakubali yaishe? Akaamua kumkimbiza chizi aliyemuibia nguo zake, ona sasa anavyoachwa uchi mbele ya hadhara kwa kukosa Hekima, kesho ijumaa atapanda kwenye mimbari ? Natamani ningekuwa hapo niuone ushujaa wake
 
Lukuvi alisema jambo la kweli ila kosa kubwa hadhara ya kanisani sio sahihi. Amewapa kazi wadakizi wanaoishi kwa uchochezi wa kidini na wale wasioisha hisia za kidini.
Lukuvi mwenyewe ana hisia za udini kama Mwigulu
 
Duh Hivi huyu sheikh kumbe alianza vituko siku nyingi, hili kweli ni pandikizi la CCM!
 
Back
Top Bottom