Sheikh Mkuu umenifanya nile vyakula vya kithungu leo. Bado upande wa pili, tufanyie marekebisho Dar

Sheikh Mkuu umenifanya nile vyakula vya kithungu leo. Bado upande wa pili, tufanyie marekebisho Dar

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kuna viongozi wa dini walijsahau wakajiona miungu mtu badala ya kutumikia wananchi wamekuwa wakitumia madaraka vibaya kuwaadhibu wabaya waooo

Wapooa waliokwenda mbaolli wskafikia kutaka vipusa vya wenzao walio chini yaooo

Haitoshi wapoo walioamua kuwaadhibu wenzao kisa tu kuhoji matumizi ya sadaka zaka nk ...

Leo Mh sheikh mkuu na baraza lake wameonyesha umma kumbe hekima n kitu chamaana sanaa

Cheo ni dhamana sio sehemu ya kumwadhibu mwenzio unaposhindwa kuelewana nae....

Hali hii nitoe rai kwa sheikh mkuu na wengineo wekeni mda wa kuondoka kama hawa...ama kuwahamisha kila baada ya miaka 3

Shida mojaa wanajihisi watafia madarakaniii

Niwapongezee waislamu wotee huu ni ushindi dhidi ya kiburi dhidi ya wasiokuwa na hekima zaidi zidi ya cheo hakina undugu

Kwa msiojua... tafuteni uhusiano wa aliepigwa chuma sheikh mkuu wa Dar na ... aliehitimisha .....

Mnapopewa vyeo vikubwa kwenye dini msipotolewa mungu atawaondoa dunian watu waendlee kuishi kwa amani

Mwisho askofu mkuu shoo tunaomba mfanye mabadiliko kwenye vuongozi wenu asa wa dar ama waondoke ama uwahamishe .......hii italeta amani na kuaminika....

Kila la kheriii yaani sheikh mkuu tanzania umenifanyaaaa.aaa leoo niagize dompoo na mbuzii pori kwa furaha nilionayo

Nawataka heri ya mwaka mpya waislamu wote
 
Sheokh wa mchongo wa Dar na Mwenyekiti wa baraza la amani alisababisha amani kutoweka
 
Back
Top Bottom