Sheikh Mkuu wa Dar afanikiwa kumdhibiti Mange Kimambi

Sheikh Mkuu wa Dar afanikiwa kumdhibiti Mange Kimambi

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Alisema mwisho wake wa kutukana itakuwa 31 Desemba 2018, watu wakajua kuwa mange atakufa ila kumbe laa ni ataacha udomokaya wake.

Shekh wa watu amepiga dua za kutosha mange akaanza withdraw taratibu na kuacha kutukana watu.

Toka mwaka uanze yupo kimya. Now yupo busy na Hamisa na Jack Pemba
 
Yule ni Shehena siyo Sheikh!hana uislam wowote yule.Mnafiki anaangalia tumbo lake tuu.
Hajawahi wasilisha mada ya kuhusu uislam mahali popote ila yeye kazi yake kutetea serikali
 
Hivi JF usipopost kwa muda fulani unatolewa ,maana jamaa hana cha kujibiwa hapa.
 
Huyu Sheikh alimtabiria Mange kuwa hatamaliza 2018 ni baada ya kufichua nyumba ndogo ya Sheikh huyo huko Dsm nakumbuka ilikuwa mali ya mtu akaipa na usafiri ngoja niitafute ile post Instragam
lkn Mange Kimambi ni kiboko msimchokoze alitingisha Nchi na askari wote wakajipanga
Mange kamaliza 2018 na kaingia 2019 Dua za Sheikh hazikufua dafu
1547976926619.png
 

Attachments

aka2030

Wewe ni wa kusikitikia sana kama unamumini shekhe!

Mange kavutiwa dola 350,000 ndio maana kila siku anakula bata na mashauzi kibao insta!

Zitaisha nadhani atarudi tena,avute zingine!

Eti shehe!

Upuuzi mtupu!
 
Back
Top Bottom