LIKE
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 4,755
- 9,889
Alichemka sana juzi, mpaka uso wa spika ukajawa na mshangao.
Mkuu weka hiyo,labda mange hajaionaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alichemka sana juzi, mpaka uso wa spika ukajawa na mshangao.
Ipo youtube.Mkuu weka hiyo,labda mange hajaionaa
yule Sheikh ubwabwa anayechomekea vijembe kwenye sala na umma unaitika "Amina" ?
Aliteleza!Alichemka sana juzi, mpaka uso wa spika ukajawa na mshangao.
Fafanua mkuu PAGAN.Mashehe wengi akili zao wanafikiria mazingaombwe tu
Fafanua mkuu PAGAN.
CC: Faiza Foxy.
Hahahaha. Mkuu Tanga mjini nadhani ndio panaongoza kwa wingi wa vichaa wenye umri mdogo. Mambo hayo hayo ya kusomeana.Sasa we ukae chini uongee kiarabu tu mtu mwingine apate madhara, kama sio mazingaombwe nini?
Haa huyu atatufaa sana kwenye ushahidi hapo baadaeWakati anawapigia dua wasionekane kabisa!
Hahahaha. Mkuu Tanga mjini nadhani ndio panaongoza kwa wingi wa vichaa wenye umri mdogo. Mambo hayo hayo ya kusomeana.
Mpemba anakwamba kitu changu mwenyewe unaniibia halafu nende polisii!, nanshtakia Mungu tuuuu.
Wewe ni wa kusikitikia sana kama unaamini upumbavu wa yule kitombi!
Mange kavutiwa dola 350,000 ndio maana kila siku anakula bata na mashauzi kibao insta!
Zitaisha nadhani atarudi tena,avute zingine!
Eti shehe!
Upuuzi mtupu!
Ndicho alichokuwa akikitafuta siku zote.
Mliodhani ni mwanaharakati mlikuwa hamna kazi ya kufanya.
Insanity is to keep doing the same thing in the same way expecting different result.Pole sana Mange Kimambi,Ni kweli mwaka huu umekuwa Kimya sana,nadhani ukimya wako umetokana na habari mbaya ulizozipata July 2019 kwa kugundulika na Cancer ya maziwa(Breast Cancer),pole sana fuata ushauri wa Dr wa kuanza chemotherapy.
Insanity is to keep doing the same thing in the same way expecting different result.
duh kansa ya titi tena? pole yake na uzuri wa nyonyo zile dahPole sana Mange Kimambi,Ni kweli mwaka huu umekuwa Kimya sana,nadhani ukimya wako umetokana na habari mbaya ulizozipata July 2019 kwa kugundulika na Cancer ya maziwa(Breast Cancer),pole sana fuata ushauri wa Dr wa kuanza chemotherapy.