Wakati anawapigia dua wasionekane kabisa!Basi atusaide kupata watu wasiojulikana maana ndilo janga la kitaifa
Niliogopa sana. Sala ya Mungu shekhe anatia fitina na ummat unajibu AMEEN.yule Sheikh ubwabwa anayechomekea vijembe kwenye sala na umma unaitika "Amina" ?
Alichemka sana juzi, mpaka uso wa spika ukajawa na mshangao.yule Sheikh ubwabwa anayechomekea vijembe kwenye sala na umma unaitika "Amina" ?