McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad akizungumza kwenye Maulid ya mtume Temeke Azimio kuhusu umuhimu wa kushukuru na kuuishi uislamu alisema:
"Hakuna asiyekuwa muislamu akafanya maandamo, hayupo. Msiende mkapigiwa mpira wa karatasi ndani una jiwe. Usiende, sisi sio watu wa maandamano"