Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Sheikh uchaguzi huu hadi sasa ni haramu, je unalifahamu hilo. Lakini hali si nzuri watu wanatekwa sana sijasikia ukilisemea au halina umuhimu kabisa?
====================
Waumini wa dini ya Kiislamu kutoka Halmashauri ya mji wa Makambako wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi mkuu ujao, kushiriki kikamilifu kwa kupiga kura na kuchagua viongozi wanaofaa.
Wito huo umetolewa leo na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania,Sheikh Dr Abubakar Zuber Ali Mbwana, wakati wa mkutano na waumini wa dini hiyo uliofanyika katika msikiti wa Masid Taqwa wa Mwembetogwa.