Sheikh Mohamed Said heko wewe ni gwiji la historia Sasa mambo yanajitokeza hadharani!

Status
Not open for further replies.
Nguruvi3, wewe na Mzee wetu mwenye chama mnapingana matusi ya Lissu kwa Nyerere wewe unayaita data na vithibitisho, msome Mzee Mtei.

Kazi kweli kweli tutasikia mangi.

Ahsanta.
 
Wanajeuri hata ya kupambana ili kupata haki za hao mbwiga...!?
Akhui wabara,



Angalia hii picha vizuri kushoto kabisa ni Jaji Warioba unadhani kwa nini kajitenga hapa kwenye picha, ebu angalia kina Mkapa na wenzake walivyokuwa na nidhamu ya uoga wote wameweka mikono nyuma.
 
Akhui wabara,



Angalia hii picha vizuri kushoto kabisa ni Jaji Warioba unadhani kwa nini kajitenga hapa kwenye picha, ebu angalia kina Mkapa na wenzake walivyokuwa na nidhamu ya uoga wote wameweka mikono nyuma.

Ritz,

Assalaamu alaykum warahmatullaah wabarakaatuh, pole na nijaalie hali yako nduu langu.

Hakika ni far ha kubwa mno kutana nawe hapa barzani ili badilishana mawili kwa matatu katika mustaqbali wa nchi yetu hii katika mapito ilopita nasi kuburuzwa na Kambarage Nyerere wakti ule.

Nidhaam za kinafiki za hao akina Mkapa matokeo yake soote Watanzania tuliyaona na twayaona.

Yaani tofauti ya Mkapa na Kambarage labda miili tu na UJANJANJA lakini mangine mangi mno ni yale yale kama ule mzizi mkuu.

Hata hoyo Warioba anayo pia mapungufu yake na anajifahamu na baadaye twaamini kupitia mapungufu yake atajigeiya/ amejigeiya fasi ya kuyarekabisha machafu ya dhahiri shahiri kupitia hiyo Rasimu ya Katiba.

Shukraan.
 

so unamkubali Lissu aliethubutu eeh
 
Waleykum Salaam ndugu yangu wabara.

Mie sina cha zaidi najaribu kiduchu kuweka hizi bayana za Wakubwa waliotangulia mbele ya haki.



Kutoka kushoto kwenda Kulia: Sheikh Suleiman Takadir, John Rupia na Julius Nyerere. Hao waliowazunguka ni TANU Bantu Group kundi la walinzi na wahamasishaji ..​
 
Last edited by a moderator:


Dr Salim,Graca Simbine-Machel-Mandela,Mama Maria,Butiku,Mzee Aboud Jumbe,Mwalimu na Samora.
 

Ritz,

Naona leo nduu langu mekusudia nitoa matozi, maana hapa Library kwangu ninazo picha niloachiwa na nduu zangu wakati huo.

Sasa nkiziona tu Wallaah matozi hunibubujika kwa hali walizomaliza nazo.

Ila nnahakika hawajapoteza kitu History ina/itajirudia muda si mrefu.

Ndo nkapishana humu na watotokelezi walodanganywa na kuandikiwa miutumbo utumbo nao ati kuamini ule UJANJANJA wa yule Kambarage Nyerere....!?

Every good things and bad things come to an end.

So the end of Nyererelialism has reached.

Shukraan.
 
Last edited by a moderator:

We mtu hatari ujue
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…