Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Na ndio maana WAKADAKWA NA KUHIFADHIWA......Sheikh Msellem Ali, mmoja kati ya Masheikh wa Uamsho ambao wametoka Gerezani amesema mihadhara yao ilikuwa na nia ya kuwaamsha watu kudai Katiba Mpya.
Amesema kwa kipindi kile walifanya hivyo kwa kuwa kulikuwa na fursa ya maoni kuhusu Katiba Mpya. Walifanya hayo kwa mujibu wa sheria kwa kuwa katiba in ruhusu kila mtu kutoa mawazio au maoni yake
Aidha amesema hana chama cha siasa, na wala hana mamlaka ya kudai katiba mpya. Lakini ikitokea serikali inataka maoni kuhusu katiba mpya na wakiona anaweza kuchangia mawazo basi atashiriki.
Mama hakukosea.....Yaan hao aliowatoa mama kwangu mm naona ni magaidi tuu ata asingewatoa kabsa
Kawatoa mama au imewatoa mahakama?yeye alichokisema (huyo mama yako) kesi zote zisizojitosheleza kwa ushahidi dpp azifute,na kwa ushauri huo watu wengi walifutiwa kesi zao na hivi sasa wako huru.Yaan hao aliowatoa mama kwangu mm naona ni magaidi tuu ata asingewatoa kabsa.
Taifa lina katiba nzuri imejitosheleza kabisa...mbona unamsemea kila mtu mzee? Hayo mamlaka ya kugeneralize unayatoa wapi?Na ndio maana WAKADAKWA NA KUHIFADHIWA......
Inakuwaje viongozi wa DINI (zote hizi) wanafanya MASS MOBILIZATION dhidi ya misimamo ya SERIKALI ILIYOKO MADARAKANI?!!!
Ikumbukwe viongozi wa DINI wana nguvu mno....
Hivi wakifanyiwa hivyo Watakuwa wameonewa?!!!
Taifa letu lina katiba nzuri...imejitosheleza kabisaa.....
Si lazima demokrasia ya KENYA ifanye kazi hapa Tanzania ....ikumbukwe hata historia ZA NCHI ZINATOFAUTIANA......
Tuitafsiri DEMOKRASIA kivyetu...kwa mahitaji yetu.....
#NchiKwanza
#UchumiKwanza
#KatibaYetuNiBora
Ww ndo u.enielewesha vzuri na nimekuelewa sio kama uyo Jay Cruel anakua na mihemko isio na maana wngne ss tunaichukua habari kama ilivoletwa hatuna muda wa kufuatilia ila nimekuelewa chief na Jay Cruel qchaga mambo ya kic#oK() utakaLia LOBOKawatoa mama au imewatoa mahakama?yeye alichokisema (huyo mama yako) kesi zote zisizojitosheleza kwa ushahidi dpp azifute,na kwa ushauri huo watu wengi walifutiwa kesi zao na hivi sasa wako huru.
Hivi wewe unaamini kwa miaka 9 bado walikuwa wanakusanya ushahidi au walikuwa hawana ushahidi.
Kimsingi hao walikuwa ni wapinzani wa muungano,hawautaki kabisa na ndicho walichokuwa wanawahamasisha wazenji waukatae,ila wenye mamlaka hawakupenda misimamo yao na badala ya kujibu hoja zao,wao wakawafungulia kesi na kwa vile wao wanajiita wanamihadhara ya kiisilamu ikaonekana wakipewa kesi ya ugaidi itaeleweka vizuri zaidi na watu kama wewe ambao kwenu serikali huwa haiongopi.
Kabsa mkuu nimekuelewa chief kazi endelee Tanzanian [emoji1241]mojaMama hakukosea.....
Kwa kuwa hawakuthibitika ugaidi wao ndio maana HAWAKUHUKUMIWA.....
Wameshajifunza......na huko nje SOMO LIMEPATIKANA VYEMA TU...VYEMA TU....kwani kukosa hewa ya uraiani kwa miaka 9 halafu urudie kosa URUDI SEGEDANSE ?!!sidhani.....
#NchiKwanza
#TaifaKwanza
#KaziInaendelea
Kabsa mkuu nimekuelewa chief kazi endelee Tanzanian [emoji1241]moja
Ok mkuu👍Taifa lina katiba nzuri imejitosheleza kabisa...mbona unamsemea kila mtu mzee? Hayo mamlaka ya kugeneralize unayatoa wapi?
Mfano Mimi naona haijitoshelezi..!
OkRogo +uamsho +illunga
Watu wanajisahaulisha makusudi kumwagiwa tindikali wageni, kuchomwa moto makanisa wakati wa harakati za uamsho...Kutoa maoni tu kuhusu katiba ndiyo wakamatwe na kuwekwa ndani miaka yote hiyo? Kuna la ziada walifanya au kusema hata kama hapakuwa na ushahidi madhubuti wa kuwatia hatiani.
Acha chuki...kudai katiba ndio ishakuwa ugaidi?Yaan hao aliowatoa mama kwangu mm naona ni magaidi tuu ata asingewatoa kabsa.
Huna unachojua kojoa kalale.Yaan hao aliowatoa mama kwangu mm naona ni magaidi tuu ata asingewatoa kabsa.
Michezo hiyo wanafanyaga wale wa upande wa pili, wala hupati tabu kuwakamata wenyewe wanaipenda hasaaaSaivi tukiwakamata tunawapaka mafuta m@tak0