Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Ahsante sana ndugu yangu!
Safi sana Sheikh Muhammad Iddi, Allah akuhifadhi sheikh wetu.
GODBLESS LEMA , na wenzio wenye element za udini, ukabila na ubaguzi + chuki dhidi ya waislamu, jirekebisheni, narudia tena jirekebisheni.
Bhujiku ng'waka!
Hammaz
Ahsante sana ndugu yangu!
Hii nimebahatika kuisikiliza magharibi ya leo. Sheikh Muhammad Iddi nukta kazipangilia vizuri! Nimeupenda mtiririko wake!
Wameshafeli wanafikiri waislamu wana nakisi ya ufahamu. Wengi wao wametulia ila wanajua wanachokitafuta kukifanya hawa majamaa ni kipi!Pamoja sana sheikh wangu, Hawa watu hawana hoja, bali wanatumia nguvu kuudhalilisha uislamu, na hawatofanikisha kamwe
Tumejifunza! Nyerere aliwageuka wazee wetu na akaungana na kanisa katoliki na alichokifanya tunakijua.Kwa ufupi waislam wasasa tofauti kubwa waislam wa enzi ya nyerere wa sasa ni watu wabinafsi na wasio jielewa duniani
Wangekuwa hawa wa sasa Usultani ungekuwepo Zanzibar mpaka kesho, japokuwa sio wote wapo wachache wanaomuona Mwaarabu kama mtu wa kawaida tu,ila Walio wengi sina la kusema.Kwa ufupi waislam wasasa tofauti kubwa waislam wa enzi ya nyerere wa sasa ni watu wabinafsi na wasio jielewa duniani
Wangekuwa hawa wa sasa Usultani ungekuwepo Zanzibar mpaka kesho, japokuwa sio wote wapo wachache wanaomuona Mwaarabu kama mtu wa kawaida tu,ila Walio wengi sina la kusema.
Hizi dini zingine basii tu.
Kufia dini ni Kwa watu wajinga wajinga tu
Umezaliwa mwaka gani? Enzi za nyerere ulikuwepo? Unajua kilichoendelea kwa yule mzee wenu imefikia wengine kumtukuza? Basi kama ulikua hujui historia yake basi ulizia upate kufahamu kwa Mohamed SaidKwa ufupi waislam wasasa tofauti kubwa waislam wa enzi ya nyerere wa sasa ni watu wabinafsi na wasio jielewa duniani
Namaanisha wote. Japo binadamu huwezi kumtenga na dini.Wale Maaskofu walipoenda kupanda jukwaani mikutano ya Chadema wake ndo wako kwenye dini sahihi sio?
Au wale ndo wazalendo?
Hawa wengine wote Wana udini si ndio?