Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwaipopo akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 30, 2026 Dar es Salaam na kujibu swali la mwandishi wa habari juu ya mauaji yaliyojiri Oktoba 29 akisema ni halali.
Swali linahoji je, kama ni halali wale kuawa watu zaidi ya 500, miongoni mwao angekuwemo mtoto wako ungefanyaje?
Soma Pia: Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa
"Mtu mmoja akaniuliza je angekuwa mwanao ungefanyaje? Ah hivi mbona mna maswali ya ajabu? Angekuwa mwanangu ndio amekufa ndio ameshakufa Mungu ameshachukua bwana alitoa sasa ametoa jina lake lihimidiwe... au ningesema inna lilahi wa inahi lajun".
"Utakwendaje kupambana na serikali wewe mtoto unanisikiliza mimi baba yako alafu ukapigwa risasi kule mimi useme nisikitike? Ungekufa kibudu tu. Mimi ni mtu mwenye msimamo niliyesimama" Amesema Sheikh Mwaipopo