Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwaipopo akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 30, 2026 Dar es Salaam na kujibu swali la mwandishi wa habari juu ya mauaji yaliyojiri Oktoba 29 akisema ni halali.
Swali linahoji je, kama ni halali wale kuawa watu zaidi ya 500, miongoni mwao angekuwemo mtoto wako ungefanyaje?
Soma Pia: Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa
HUyu Mwaipopo kuvuka hata ya Musiba.kila nikimuangalia musiba na matokeo yake nawaza kesho ya mwaipopo.
hata hivyo sijui serikali ina ona fahari gani kutetewa na aina hii ya watu?
labda kwa vile ni ccm ndio maana anadhani kesho yake itakuwa kama jana yakeHUyu Mwaipopo kuvuka hata ya Musiba.
Pesa ni mbaya sana.labda kwa vile ni ccm ndio maana anadhani kesho yake itakuwa kama jana yake
Yan hili jamaa ni chokostiki kabisa simpendi huyu shekhee mwaipupu...Inakuaje mnaweka habar za watu kama hawa
Muda si mrefu sana. Huyu jamaa atakuja kusimama kwenye vyombo vya habari kuwaomba radhi wa tanzania kwa machozi. Hana kabisa idea yanayokuja. Muache aendelee kubwabwajaYan hili jamaa ni chokostiki kabisa simpendi huyu shekhee mwaipupu...
Ndio mana Mimi huwa nasema tujitahid kuhakikisha watoto wanasoma shule, hii yote ni kwasababu haijaenda shule...Muda si mrefu sana. Huyu jamaa atakuja kusimama kwenye vyombo vya habari kuwaomba radhi wa tanzania kwa machozi. Hana kabisa idea yanayokuja. Muache aendelee kubwabwaja
Haya ndio yamejaa CCMMwaipopo akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 30, 2026 Dar es Salaam na kujibu swali la mwandishi wa habari juu ya mauaji yaliyojiri Oktoba 29 akisema ni halali.
Swali linahoji je, kama ni halali wale kuawa watu zaidi ya 500, miongoni mwao angekuwemo mtoto wako ungefanyaje?
Soma Pia: Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa
"Mtu mmoja akaniuliza je angekuwa mwanao ungefanyaje? Ah hivi mbona mna maswali ya ajabu? Angekuwa mwanangu ndio amekufa ndio ameshakufa Mungu ameshachukua bwana alitoa sasa ametoa jina lake lihimidiwe... au ningesema inna lilahi wa inahi lajun".
"Utakwendaje kupambana na serikali wewe mtoto unanisikiliza mimi baba yako alafu ukapigwa risasi kule mimi useme nisikitike? Ungekufa kibudu tu. Mimi ni mtu mwenye msimamo niliyesimama" Amesema Sheikh Mwaipopo
Wewe nawe ni taahira mwengine kwenye hili jukwaa...anasema kwasababu hayajamfika.
..nimesikia ushuhuda wa Mama aliyefiwa na mumewe aliyepigwa risasi OCT 29.
..Na huyo mume hakuwa kwenye maandamano.
..Mama wa watu anakumbuka jitihada alizofanya kumfikisha mumewe hospitali.
..bahati mbaya walipofika hospitali majeruhi akawa amekwisha fariki.
..jambo baya kupita yote ni huyo Mama kupewa mwili wa mumewe ukauzike ukiwa umeoza.
..Shida yote hiyo ni ujinga wa mtu mmoja kulazimisha kuiba uchaguzi wakati uwezo wa kushinda kwa haki alikuwa nao.