Hakuna mkate ngumu mbele ya chai.Kwani sipika ya Nani hii au unakula iramba maghalibi Nini.?
MwaipopoKatika taarifa yake kwa wanahabari, Sheikh Saidi Mwaipopo amelaani vikali mbinu zinazotumiwa na baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha CHADEMA, akidai kuwa wanatengeneza taswira ya kuwa wema kwa nje ilhali wana ajenda za siri zisizo za uaminifu.
Sheikh Mwaipopo alieleza kuwa matukio na mikakati ya kisiasa inayofanywa na kikundi hicho inalenga kuondoa serikali halali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan pamoja na kuvuruga viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini.
Soma: Sakata la Mhadhiri wa Chuo Kikuu kupewa kesi ya ugaidi, Mgomo wa wafanyakazi UDOM wanukia
Aidha, Sheikh Mwaipopo amewajibu viongozi na wanachama wa CHADEMA wanaoidai serikali inawaonea na kuwasingizia tuhuma za ugaidi wasomi na wahadhiri wa vyuo vikuu waliokamatwa hivi karibuni. Sheikh Mwaipopo amesisitiza kuwa si kweli kwamba serikali inamjulisha au kumsingizia msomi wa chuo kikuu ambaye imemwajiri na kumlipa mshahara, bali vyombo vya ulinzi vinapaswa kuachiwa vifanye kazi yake ya uchunguzi kwa uhuru na kuwatia huru wale watakaobainika hawana hatia.
Ni jirani yake MwashambwaHuyu pimbi anatumiwa na nani?
Huyo ndiye msemaji rasmi wa ikulu.Huyu pimbi anatumiwa na nani?
Aisee huyu ni gaidi na ana kundi lakeHuyo ndiye msemaji rasmi wa ikulu.
Kamaliza darasa la ngapi mbali na madrasa??????Katika taarifa yake kwa wanahabari, Sheikh Saidi Mwaipopo amelaani vikali mbinu zinazotumiwa na baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha CHADEMA, akidai kuwa wanatengeneza taswira ya kuwa wema kwa nje ilhali wana ajenda za siri zisizo za uaminifu.
Sheikh Mwaipopo alieleza kuwa matukio na mikakati ya kisiasa inayofanywa na kikundi hicho inalenga kuondoa serikali halali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan pamoja na kuvuruga viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini.
Soma: Sakata la Mhadhiri wa Chuo Kikuu kupewa kesi ya ugaidi, Mgomo wa wafanyakazi UDOM wanukia
Aidha, Sheikh Mwaipopo amewajibu viongozi na wanachama wa CHADEMA wanaoidai serikali inawaonea na kuwasingizia tuhuma za ugaidi wasomi na wahadhiri wa vyuo vikuu waliokamatwa hivi karibuni. Sheikh Mwaipopo amesisitiza kuwa si kweli kwamba serikali inamjulisha au kumsingizia msomi wa chuo kikuu ambaye imemwajiri na kumlipa mshahara, bali vyombo vya ulinzi vinapaswa kuachiwa vifanye kazi yake ya uchunguzi kwa uhuru na kuwatia huru wale watakaobainika hawana hatia.
Hapo Ikulu si amekaa mswahilina mwenzake asiyejua lolote kuhusu protocol,si ajabu akawa alimpigia simu kumpongeza na kumshukuru kwa aliyoyaongea.Aisee huyu ni gaidi na ana kundi lake
sasa vp anakuwa msemaji wa ikulu?
Kuna kitu hakipo sawa!
Yupo kazini anatumiwa na JamhuriHuyu pimbi anatumiwa na nani?
Huyuu Mwaipopo analipwa na nani?Katika taarifa yake kwa wanahabari, Sheikh Saidi Mwaipopo amelaani vikali mbinu zinazotumiwa na baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha CHADEMA, akidai kuwa wanatengeneza taswira ya kuwa wema kwa nje ilhali wana ajenda za siri zisizo za uaminifu.
Sheikh Mwaipopo alieleza kuwa matukio na mikakati ya kisiasa inayofanywa na kikundi hicho inalenga kuondoa serikali halali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan pamoja na kuvuruga viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini.
Soma: Sakata la Mhadhiri wa Chuo Kikuu kupewa kesi ya ugaidi, Mgomo wa wafanyakazi UDOM wanukia
Aidha, Sheikh Mwaipopo amewajibu viongozi na wanachama wa CHADEMA wanaoidai serikali inawaonea na kuwasingizia tuhuma za ugaidi wasomi na wahadhiri wa vyuo vikuu waliokamatwa hivi karibuni. Sheikh Mwaipopo amesisitiza kuwa si kweli kwamba serikali inamjulisha au kumsingizia msomi wa chuo kikuu ambaye imemwajiri na kumlipa mshahara, bali vyombo vya ulinzi vinapaswa kuachiwa vifanye kazi yake ya uchunguzi kwa uhuru na kuwatia huru wale watakaobainika hawana hatia.
Sasa imeweza kumsingizia.Katika taarifa yake kwa wanahabari, Sheikh Saidi Mwaipopo amelaani vikali mbinu zinazotumiwa na baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha CHADEMA, akidai kuwa wanatengeneza taswira ya kuwa wema kwa nje ilhali wana ajenda za siri zisizo za uaminifu.
Sheikh Mwaipopo alieleza kuwa matukio na mikakati ya kisiasa inayofanywa na kikundi hicho inalenga kuondoa serikali halali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan pamoja na kuvuruga viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini.
Soma: Sakata la Mhadhiri wa Chuo Kikuu kupewa kesi ya ugaidi, Mgomo wa wafanyakazi UDOM wanukia
Aidha, Sheikh Mwaipopo amewajibu viongozi na wanachama wa CHADEMA wanaoidai serikali inawaonea na kuwasingizia tuhuma za ugaidi wasomi na wahadhiri wa vyuo vikuu waliokamatwa hivi karibuni. Sheikh Mwaipopo amesisitiza kuwa si kweli kwamba serikali inamjulisha au kumsingizia msomi wa chuo kikuu ambaye imemwajiri na kumlipa mshahara, bali vyombo vya ulinzi vinapaswa kuachiwa vifanye kazi yake ya uchunguzi kwa uhuru na kuwatia huru wale watakaobainika hawana hatia.
Yaani unatuletea humu habari za Mwaipopo kweli? Unataka humu jf tumjadili huyu punguani?Katika taarifa yake kwa wanahabari, Sheikh Saidi Mwaipopo amelaani vikali mbinu zinazotumiwa na baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha CHADEMA, akidai kuwa wanatengeneza taswira ya kuwa wema kwa nje ilhali wana ajenda za siri zisizo za uaminifu.