Sheikh Mwaipopo: Serikali haiwezi kumsingizia msomi wa chuo kikuu kwa ugaidi

Wakati mwaipopo anasema anajeshi lake kwa ajili ya kupambana na waandamanaji jeshi la polisi lilikua wapi
 
Hivi neno gaidi lina maana nyingi tofauti na hii tunayoijua maana kuna watu wanapewa kesi ya ugaidi mpaka unabaki unashangaa
 
Huyu pimbi anatumiwa na nani?
Anatumiwa na mtu anayedhani hukosolewa kwasababu ya dini yake...

Kuna mtu anadhani akiambiwa usiue watanzania, anajua wanaomkataza wanafanya hivyo kwasababu hawapendi dini yake...

Hawa kina Mwaipopo wanamtetea kwasababu wanamwona ni ndugu yao katika imani na sio kama raisi wa nchi...
 
Itabidi tuanze kuulizana hao wanani?je wanakulanini wakati huu wa kiangazi?
 
Yaani unatuletea humu habari za Mwaipopo kweli? Unataka humu jf tumjadili huyu punguani?

Hata kama Unaswali naye lakini hebu tuondolee uchafu wenu hapa.

Wajinga wakubwa nyie
Hapana mkuu tuyajadili aliyoyaongea ili watu wasijedhania kweli.
Tujenge hoja ili aumbuke
 
Hii serikali imekuwa na wasemaji wengi sana
 
Huyu baba ni vzur akapimwa akili zake mapema ,huyu mgonjwa wa akili hivi Kuna ktu asichojidai anakijua ,yaan anashoboka mno kias kwamba anaingilia mpaka kazi za wengne azizo jua, yaan kila ktu yumo ,nahis ana trauma ya muda mrefu sana maana kila kitu anataman awe yy ndo headlines ,akiona tundu lissu mahakaman anataman watu waache kuzungumzia lissu Bali awe yy,akiona Shekh wa mkoa wa dar anapendwa anarukia anataka yy awe maarufu ,na ili ni tatzo la kisaikolojia kutaman uwe ww kila Jambo ,hata anaweza kuona jeneza limebeba mtu maarufu akaona wivu na kutaman awe jeneza ili watu wamuone yy, mm sa hiv sisikiliz wala kusoma ktu chochote chake ,hat uson anaonekana ni mtu mbaya sana ,na mwanaye aliyesma hiv karbun kua alisema akiwa mkubwa atagombea urais na atawaweka Mashekh na wachungaji ndan ,ndo alichukua roho mbaya na wivu wa babake ,baba ana wivu na roho mbaya sana
 
Your browser is not able to play this audio.
Special dedication to you mwaibat
 
Asee mkuu mtu tayari ni popo kwanini tumpe airtime?
 
Kukosa uhalali kutoka kwa Wananchi ndio kunawaibua Wapuuzi na wajinga kama huyu, yeye anaongea kama nani ? Najua hata Gerson hana hamu ya kuzungumzia hii serikali ambayo haina uhalali wa wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…