Sheikh Mwaipopo: Uongozi si jambo dogo, wapo wanaopewa vyeo na kuvitumia kama bakora ya kutesa watu

Sheikh Mwaipopo: Uongozi si jambo dogo, wapo wanaopewa vyeo na kuvitumia kama bakora ya kutesa watu

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722


Sheikh Mwaipopo akizungumza katika mkutano uliowakutanisha viongozi mbalimbali wa dini ametoa wito kwa watu kuheshimu na kuwapongeza viongozi kwani kazi hiyo si kazi ndogo. Ameongea kuwa kiongozi kama Rais hawezi kutukanwa tu watu mitandaoni.
 
Mashehe ubwabwa hawa wa kilaza wa kizimkazi, mwingine ni yule alisema angekata vichwa vya waandamanaji!
 
Back
Top Bottom