Mwanamwana Platinum Member Joined Aug 1, 2011 Posts 9,604 Reaction score 22,722 Apr 12, 2026 #1 Your browser is not able to display this video. Sheikh Mwaipopo akizungumza katika mkutano uliowakutanisha viongozi mbalimbali wa dini ametoa wito kwa watu kuheshimu na kuwapongeza viongozi kwani kazi hiyo si kazi ndogo. Ameongea kuwa kiongozi kama Rais hawezi kutukanwa tu watu mitandaoni.
Your browser is not able to display this video. Sheikh Mwaipopo akizungumza katika mkutano uliowakutanisha viongozi mbalimbali wa dini ametoa wito kwa watu kuheshimu na kuwapongeza viongozi kwani kazi hiyo si kazi ndogo. Ameongea kuwa kiongozi kama Rais hawezi kutukanwa tu watu mitandaoni.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Apr 12, 2026 #2 Huyu Sheikh ni wa Bakwata kweli!
A akili mwili mzima JF-Expert Member Joined Nov 13, 2025 Posts 2,662 Reaction score 5,558 Apr 12, 2026 #3 Mashehe ubwabwa hawa wa kilaza wa kizimkazi, mwingine ni yule alisema angekata vichwa vya waandamanaji!
Mashehe ubwabwa hawa wa kilaza wa kizimkazi, mwingine ni yule alisema angekata vichwa vya waandamanaji!