McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Sheikh Mziwanda akiwahutubia waumini na wananchi waliohudhuria Maulid ya Kitaifa yaliyofanyika Mnazi Mmoja amesema maendeleohayawezi kupatikana kwa njia ya fujo wala matusi, bali kwa kushikamana na mafundisho ya Mungu na kuwaheshimu viongozi.
"Leo vijana tunataka maendeleo kwa fujo. Uliona wapi fujo zikaleta maendeleo? Ni akili ya mgando kuamini kumtukana Rais au kiongozi wetu ndio siri ya kupata mafanikio," alisema
"Leo vijana tunataka maendeleo kwa fujo. Uliona wapi fujo zikaleta maendeleo? Ni akili ya mgando kuamini kumtukana Rais au kiongozi wetu ndio siri ya kupata mafanikio," alisema