McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
TEC wakisimama kukemea dhulma watu wanapanick ila sheikh hapa kusimama hadharani kufanya siasa its okay. Basi sawa
------------------------------------
Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda akiwa anazungumza hivi karibuni amesema kwamba"
"Wanaotaka kwenda kuandamana maana yake wametia nia ya kwenda kiunyume na mpango wa Mungu. Huyu Mama Samia Mungu kamteua we unasema hutaki tunamtaka wa kwetu. Maana yake unapinga nguzo ya sita alafu unajiita Muislamu. Tusiende kwenda kupingana na mpango wa Mungu tusubiri temu ijayo"