Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sheikh Nurdin Kishk anasema "Vijana mkadai haki yenu kwa amani bila fujo yoyote"
Nimemsikiliza Sheikh Kishk nikagundua kuwa na yeye ni Sheikh ubwabwa tu anayetumika na CCM. Kwa umaarufu wake CCM wamemleta kupunguza kasi ya waislamu wanaojitambua kuiponda BAKWATA. Aidha, kwa njia usiyoweza kuibaini kirahisi, wanamtumia pia Kishk kuipaka matope TEC, kuwalaumu vijana wa GenZ wakati huo huo kutoitupia lawama yeyote serikali ambayo imemwaga damu za watanzania.Sheikh Nurdin Kishk anasema "Vijana mkadai haki yenu kwa amani bila fujo yoyote"
We dada nani amekwambia huyu kijana wa temeke ametokea Sudan?Huyu baada ya ile kauli yake ya "yanayoendelea Tanzania chanzo ni mkono wa kushoto" kisha watu kumsakama kuwa hakuna mtanganyika wa hivi,arudi kwao Sudan ndiyo amebadili uelekeo ghafla hivi?
Ushahidi wa hii kauli upo wapi? Hawa watu siyo rahisi kubadili gia angani ghafla hivi.
Au kwenye ubwabwa alipewa ukoko? Ame-mind?
We mgalatia unajaza server za JF na mapovu yanayotoa harufu hapa km huna la maana kaa kimya.Nimemsikiliza Sheikh Kishk nikagundua kuwa na yeye ni Sheikh ubwabwa tu anayetumika na CCM. Kwa umaarufu wake CCM wamemleta kupunguza kasi ya waislamu wanaojitambua kuiponda BAKWATA. Aidha, kwa njia usiyoweza kuibaini kirahisi, wanamtumia pia Kishk kuipaka matope TEC, kuwalaumu vijana wa GenZ wakati huo huo kutoitupia lawama yeyote serikali ambayo imemwaga damu za watanzania.
Kwakweli ndg zetu waislamu mnapotoshwa na hawa Masheikh kama Kishk wanaotumiwa na CCM ili waendelee kubaki madarakani wakikandamiza wanyonge. Hawa akina Kishk CCM kwa ustadi mkubwa wanawatumia.
Anasema Uislamu na Allah haukubaliani kabisa na kumwaga damu ya mtu. Cha ajabu hata sehemu moja hajailaumu serikali ya CCM kwa kumwaga damu ya vijana wa watu ambao hawakuwa wameandamana wakiwa na lengo la kufanya mauwaji. Badala yake kajikita kulaumu GenZ.
Anasema yeye anaimani na Tume iliyoteuliwa na Rais kufanya uchunguzi wa yaliyotokea; na kwamba hana imani na vyombo vya Kimataifa kwakuwa huko ulimwenguni kumejaa matendo yasiyo ya haki. Hivi Kishk na waliomtuma wanajizima Data kujifanya hawajui kuwa ukiwa wewe ni mmoja wa watuhumiwa huwi na haki ya kujiundia TUME ya kujichunguza? Hakumbuki kuwa Rais Samia aliishaga mkatalia Waziri Masauni kujiundia tume ya uchunguzi wakati ambapo Wizara yake ya Mambo ya Ndani kupitia Jeshi la Polisi walikuwa mojawapo ya watuhumiwa? Sheikh baki tu usome Juzuu.
Halafu anajifanya kupinga udini na chuki dhidi ya watu wa dini tofauti- Taqqya ya Quran. Amekuja akajisahau na kuanza kushambulia VIONGOZI WA DINI WANAOPIGANIA HAKI za Watanzania. Tunajua kuwa waliojitokeza kupigania HAKI ni TEC. sasa yeye Kishk ati asema duniani hakuna watu wamenyimwa haki na kuuawa kama Wapalestina. Akalaumu ati hawa wanaojidai kupigania haki hapa Tanzania hajawahi kuwasikia hata siku moja wamewasemea Wapalestina! Sheikh Kishk nikwambie elimu yako ni kiduchu hata ingawa unajitapa ati uko na Masters. NIKWAMBIE KITU? KANISA KATOLIKI SIYO KAMA NYINYI WAISLAMU KILA MTU ANAKURUPUKA TU NA KUTOA MATAMKO. KANISA KATOLIKI NI ORGANIZATION KONGWE ZAIDI DUNIANI NA ILIYO NA TARATIBU MAHUSUSI SIYO KAMA NYINYI WAISLAMU. SUALA LA PALESTINE NI LA KIMATAIFA. NA NIKWAMBIE KUWA KAMA KUNAKANISA LIMEKUWA NA MSIMAMO WA KUPIGANIA HAKI ZA WAPALESTINA NI KATOLIKI NA MAPAPA WOTE HUO NDIYO UMEKUWA MSIMAMO hadi imefanya Katoliki likawa na Uhusiano usio mzuri na Serikali ya Israel. Hivyo, kimataifa Vatican ndiyo hutoa matamko; wakati kitaifa TEC ndiyo itatoa matamko na msimamo wa kanisa.
Sidhani km kuna muungwana yyt atashangaa kuona mgalatia kaandika ulioandika hapa.Shehe ubwabwa
Mimi mgalatia sawa. wewe kwakuwa kichwani kuna shit, ndiyo maana unawaamini hawa Masheikh Ubwabwa ambao kiuhalisia wanapingana na kile quran inafundishaWe mgalatia unajaza server za JF na mapovu yanayotoa harufu hapa km huna la maana kaa kimya.
Nyumbu wahedi
Mtaandika magazeti marefu, lakini this time tumewakabia kwa juu tena juu sanaNimemsikiliza Sheikh Kishk nikagundua kuwa na yeye ni Sheikh ubwabwa tu anayetumika na CCM. Kwa umaarufu wake CCM wamemleta kupunguza kasi ya waislamu wanaojitambua kuiponda BAKWATA. Aidha, kwa njia usiyoweza kuibaini kirahisi, wanamtumia pia Kishk kuipaka matope TEC, kuwalaumu vijana wa GenZ wakati huo huo kutoitupia lawama yeyote serikali ambayo imemwaga damu za watanzania.
Kwakweli ndg zetu waislamu mnapotoshwa na hawa Masheikh kama Kishk wanaotumiwa na CCM ili waendelee kubaki madarakani wakikandamiza wanyonge. Hawa akina Kishk CCM kwa ustadi mkubwa wanawatumia.
Anasema Uislamu na Allah haukubaliani kabisa na kumwaga damu ya mtu. Cha ajabu hata sehemu moja hajailaumu serikali ya CCM kwa kumwaga damu ya vijana wa watu ambao hawakuwa wameandamana wakiwa na lengo la kufanya mauwaji. Badala yake kajikita kulaumu GenZ.
Anasema yeye anaimani na Tume iliyoteuliwa na Rais kufanya uchunguzi wa yaliyotokea; na kwamba hana imani na vyombo vya Kimataifa kwakuwa huko ulimwenguni kumejaa matendo yasiyo ya haki. Hivi Kishk na waliomtuma wanajizima Data kujifanya hawajui kuwa ukiwa wewe ni mmoja wa watuhumiwa huwi na haki ya kujiundia TUME ya kujichunguza? Hakumbuki kuwa Rais Samia aliishaga mkatalia Waziri Masauni kujiundia tume ya uchunguzi wakati ambapo Wizara yake ya Mambo ya Ndani kupitia Jeshi la Polisi walikuwa mojawapo ya watuhumiwa? Sheikh baki tu usome Juzuu.
Halafu anajifanya kupinga udini na chuki dhidi ya watu wa dini tofauti- Taqqya ya Quran. Amekuja akajisahau na kuanza kushambulia VIONGOZI WA DINI WANAOPIGANIA HAKI za Watanzania. Tunajua kuwa waliojitokeza kupigania HAKI ni TEC. sasa yeye Kishk ati asema duniani hakuna watu wamenyimwa haki na kuuawa kama Wapalestina. Akalaumu ati hawa wanaojidai kupigania haki hapa Tanzania hajawahi kuwasikia hata siku moja wamewasemea Wapalestina! Sheikh Kishk nikwambie elimu yako ni kiduchu hata ingawa unajitapa ati uko na Masters. NIKWAMBIE KITU? KANISA KATOLIKI SIYO KAMA NYINYI WAISLAMU KILA MTU ANAKURUPUKA TU NA KUTOA MATAMKO. KANISA KATOLIKI NI ORGANIZATION KONGWE ZAIDI DUNIANI NA ILIYO NA TARATIBU MAHUSUSI SIYO KAMA NYINYI WAISLAMU. SUALA LA PALESTINE NI LA KIMATAIFA. NA NIKWAMBIE KUWA KAMA KUNAKANISA LIMEKUWA NA MSIMAMO WA KUPIGANIA HAKI ZA WAPALESTINA NI KATOLIKI NA MAPAPA WOTE HUO NDIYO UMEKUWA MSIMAMO hadi imefanya Katoliki likawa na Uhusiano usio mzuri na Serikali ya Israel. Hivyo, kimataifa Vatican ndiyo hutoa matamko; wakati kitaifa TEC ndiyo itatoa matamko na msimamo wa kanisa.
Quraan inafundisha kwenda kuvunja maduka ya watu na kuiba mali zao?Mimi mgalatia sawa. wewe kwakuwa kichwani kuna shit, ndiyo maana unawaamini hawa Masheikh Ubwabwa ambao kiuhalisia wanapingana na kile quran inafundisha
Waambie hao ma shekh ubwabwa, bila Vatican Israel ingelisha lifuta Palestine siku nyingi sana.Nimemsikiliza Sheikh Kishk nikagundua kuwa na yeye ni Sheikh ubwabwa tu anayetumika na CCM. Kwa umaarufu wake CCM wamemleta kupunguza kasi ya waislamu wanaojitambua kuiponda BAKWATA. Aidha, kwa njia usiyoweza kuibaini kirahisi, wanamtumia pia Kishk kuipaka matope TEC, kuwalaumu vijana wa GenZ wakati huo huo kutoitupia lawama yeyote serikali ambayo imemwaga damu za watanzania.
Kwakweli ndg zetu waislamu mnapotoshwa na hawa Masheikh kama Kishk wanaotumiwa na CCM ili waendelee kubaki madarakani wakikandamiza wanyonge. Hawa akina Kishk CCM kwa ustadi mkubwa wanawatumia.
Anasema Uislamu na Allah haukubaliani kabisa na kumwaga damu ya mtu. Cha ajabu hata sehemu moja hajailaumu serikali ya CCM kwa kumwaga damu ya vijana wa watu ambao hawakuwa wameandamana wakiwa na lengo la kufanya mauwaji. Badala yake kajikita kulaumu GenZ.
Anasema yeye anaimani na Tume iliyoteuliwa na Rais kufanya uchunguzi wa yaliyotokea; na kwamba hana imani na vyombo vya Kimataifa kwakuwa huko ulimwenguni kumejaa matendo yasiyo ya haki. Hivi Kishk na waliomtuma wanajizima Data kujifanya hawajui kuwa ukiwa wewe ni mmoja wa watuhumiwa huwi na haki ya kujiundia TUME ya kujichunguza? Hakumbuki kuwa Rais Samia aliishaga mkatalia Waziri Masauni kujiundia tume ya uchunguzi wakati ambapo Wizara yake ya Mambo ya Ndani kupitia Jeshi la Polisi walikuwa mojawapo ya watuhumiwa? Sheikh baki tu usome Juzuu.
Halafu anajifanya kupinga udini na chuki dhidi ya watu wa dini tofauti- Taqqya ya Quran. Amekuja akajisahau na kuanza kushambulia VIONGOZI WA DINI WANAOPIGANIA HAKI za Watanzania. Tunajua kuwa waliojitokeza kupigania HAKI ni TEC. sasa yeye Kishk ati asema duniani hakuna watu wamenyimwa haki na kuuawa kama Wapalestina. Akalaumu ati hawa wanaojidai kupigania haki hapa Tanzania hajawahi kuwasikia hata siku moja wamewasemea Wapalestina! Sheikh Kishk nikwambie elimu yako ni kiduchu hata ingawa unajitapa ati uko na Masters. NIKWAMBIE KITU? KANISA KATOLIKI SIYO KAMA NYINYI WAISLAMU KILA MTU ANAKURUPUKA TU NA KUTOA MATAMKO. KANISA KATOLIKI NI ORGANIZATION KONGWE ZAIDI DUNIANI NA ILIYO NA TARATIBU MAHUSUSI SIYO KAMA NYINYI WAISLAMU. SUALA LA PALESTINE NI LA KIMATAIFA. NA NIKWAMBIE KUWA KAMA KUNAKANISA LIMEKUWA NA MSIMAMO WA KUPIGANIA HAKI ZA WAPALESTINA NI KATOLIKI NA MAPAPA WOTE HUO NDIYO UMEKUWA MSIMAMO hadi imefanya Katoliki likawa na Uhusiano usio mzuri na Serikali ya Israel. Hivyo, kimataifa Vatican ndiyo hutoa matamko; wakati kitaifa TEC ndiyo itatoa matamko na msimamo wa kanisa.
We dada muimba mchiriku kaa mkao sa kula nikupe darasa kidogo.Waambie hao ma shekh ubwabwa, bila Vatican Israel ingelisha lifuta Palestine siku nyingi sana.
Hawa ma shekh ni watupu kichwani , alafu wanajiita wanazuoni ,
Ndio ulikuwa msimamo wake au amebadilikaSheikh Nurdin Kishk anasema "Vijana mkadai haki yenu kwa amani bila fujo yoyote"
Hicho ndiyo mnachokijua nyinyi Islamists kujitwalia madaraka ya kidunia badala ya kuwaelekeza watu waipate pepo. Msichojua ni kwamba kadiri vijana wa Kiislamu wanavyoelimika na kupata access kwenye mitandao ya kijamii hususan Tiktok ndiyo wanavyozidi kubaini kuwa masheikh ubwabwa hawatawasaidia waipate pepo. Watauacha uislamMtaandika magazeti marefu, lakini this time tumewakabia kwa juu tena juu sana
Tumejipanga sana
Chagua CDF ajaye kwenye hio listi
1. Rear Admiral Ameir Hassan - Mkuu wa Jeshi la Wanamaji (Naval Command)
2 Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo - Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu (Land Forces)
3. Meja Jenerali Shabani Mani - Mkuu wa Majeshi ya Anga (Air Force)
4. Meja Jenerali Iddi Nkambi - Mkuu wa Majeshi ya Vikosi vya Chini ( Battalions)
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele - Mkuu wa Majeshi ya Taifa (National Service)
Sheikh Nurdin Kishk anasema "Vijana mkadai haki yenu kwa amani bila fujo yoyote"
Tuonyeshe hizo Ayat za Quran zinazozungumzia kukataza kuchoma miundombinu.Quraan inafundisha kwenda kuvunja maduka ya watu na kuiba mali zao?
Quraan inafundisha kuchoma miundo mbinu ya nchi na kuweka SUMU kwenye maji wanayokunywa binaadamu na wanyama?
Viongozi wenu wanawashawishi MKAUE ASKARI NA KUCHOMA VITUO.
Na Mmetekeleza.
Wamewaambia mkachome mwendikasi na vituo vyake na mmetekeleza bila kujali kuwa hizo mwendokasi zinatufaa watanzania wengi wanyonge na maskini.
Ikafikia kina mama wajawazito wanazalia brbrni sababu yenu. Na watoto wagonjwa kufia majumbani kwa kushindwa kwenda hospital.
Wewe sio wa kwanza kuukashifu Uislamu na huwezi kuwa wa mwisho.
Lkn kumbuka
Hukumu yenu inawasubiri mbele ya Muumba.
Mkuu kahtaan , hayo 👆 ulio ya mentions nayajua vizuri TU.We dada muimba mchiriku kaa mkao sa kula nikupe darasa kidogo.
1.Je unafahamu vita baina ya wazayuni na Palestine ina zaidi ya miaka 60 leo.
Hilo kanisa lilikuwa wapi miaka yote hio?
2. Je unafahamu CHANZO cha hio ibada ya kuabudu Sanamu imeanzia hapo Bethlehem PALESTINE.
Na WAKRISTO WA KWANZA DUNIANI wametokea hapo Palestine?
3. JE unafahamu kuwa Asilimia 30 ya WAARABU ni WAKRISTO na ibada zao wanafanyia huko huko Palestine? Je hilo kanisa katoliki hata km lina piga kelele unadhani linatetea WAISLAMU?
Ulivyo na elimu ndogo unadhani waarabu wote WAISLAMU!
WAARABU ni asilimia 15% tu ya waislamu Duniani.
Asilimia 85% SIO WAARABU.
Usiamini tu maneno yangu km mnavyo lazimishwa kuamini Gajima anafufua wafu . Ingia kwenye mitandao soma upate faida.
Siku nyingine usije humu kujaza server ya Jf uharo wa njano. Pata elimu kwanza.
Paka shume.
Pumba tupuHicho ndiyo mnachokijua nyinyi Islamists kujitwalia madaraka ya kidunia badala ya kuwaelekeza watu waipate pepo. Msichojua ni kwamba kadiri vijana wa Kiislamu wanavyoelimika na kupata access kwenye mitandao ya kijamii hususan Tiktok ndiyo wanavyozidi kubaini kuwa masheikh ubwabwa hawatawasaidia waipate pepo. Watauacha uislam