Better ungejianzishia tu uzi wako maalum wa kuonyesha jinsi Mdini na ulivyo na chuki dhidi ya Uislamu kuliko kuharibu thread ya mwingineLete andiko toka kwenye Quran ambapo allah kampa muddy utume na unabii. Lete andiko linalosema "Mimi allah nimempa Muddy utume na unabii" Ukinipa andiko hilo kesho nasilimu mkuu.
Acha makasiriko maamuma wewe. πππππππππ
Waanfishi wa habari waende tu wamhoji kuhusu hixo tuhuma za 8tapeli na dhuluma kwenye mali za wakfu na kujimilikishaToa mfano mali zipi
Wacha mbwembwe we maamuma.Better ungejianzishia tu uzi wako maalum wa kuonyesha jinsi Mdini na ulivyo na chuki dhidi ya Uislamu kuliko kuharibu thread ya mwingine
Wakuu niaje?
Nimekutana na clip ya Sheikh Kishki akisema kuwa Uchawa (kujipendekeza kwa watu ili update maslahi kumekatazwa katika Uislam).
Vipi kuhusu viongozi wetu wa dini ambao wamekuwa machawa wabobevu?
Hebu msikilize mwenyewe hapo chini utie neno
View attachment 3220714
View attachment 3220716
Zitaje hizo maliWaanfishi wa habari waende tu wamhoji kuhusu hixo tuhuma za 8tapeli na dhuluma kwenye mali za wakfu na kujimilikisha