Anaongea na akina nani"Itakua ni ajabu muislam akawa anaunga mkono tarehe 9 eti watu wakaandamane eti wanadai haki" - amesema Sheikh
Wasaa za Masheikh zinaendelea kuhusu haki na maandamano, ila wajue tu wasihusishe masuala ya dini na ubaguzi katika kudai haki.
Sheikh unamkataza huyo muumini wa kiislamu kuandamana kudai haki unamnyima uhuru wake wa kutafuta haki, hata hivyo maandamano ya disemba 9, 2025 ni ya amani kudai haki lakini kama mamlaka zitatumia nguvu nyingi kama walivofanya Oktoba 29 basi siyo kosa la muandamanaji ni mamlaka kuwajibishwa na ukumbuke pia tayari Gen Z tumepeleka barua kwa mamlaka za ulinzi kuwa tarehe hiyo tunaingia barabarani kwa amani kudai haki
Sheikh acha kudanganya waumini wako kujikunyata kupambania haki yao na kutetea taifa
haki gan umekosa weweBila HAKI wote tumo katka hasara
Hivi kweli wewe Kama mtanganyika unaweza kuniuliza swali Kama Hilo? Kweli yaàni kweli kabisa dhulma hizi unaweza kuniuliza haki Gani nimekosa? Ila ndio kawaida yenu nyie mboga mboga dhulma Kwenu ni kitu kidogo TU ila jitafakari Kwa swali uliloniuliza Bado siamini Kama huamini nchi hii Haina haki, anza tu na ripoti za CAG miaka 10 iliyopita, Wala usiguse kingine, Kama mahakama, polisi Wala bunge JITAFAKARI mwenyewe alafu jiulize Kama unastahiki kua mtanganyika alieniuliza swali la kipumbavu namna hii.. nimejizuia Sana nisikuvurumishehaki gan umekosa wewe
sasa CAG inahusiana nn na haki? ndo maaana sometimes mnaitwa manyumbuHivi kweli wewe Kama mtanganyika unaweza kuniuliza swali Kama Hilo? Kweli yaàni kweli kabisa dhulma hizi unaweza kuniuliza haki Gani nimekosa? Ila ndio kawaida yenu nyie mboga mboga dhulma Kwenu ni kitu kidogo TU ila jitafakari Kwa swali uliloniuliza Bado siamini Kama huamini nchi hii Haina haki, anza tu na ripoti za CAG miaka 10 iliyopita, Wala usiguse kingine, Kama mahakama, polisi Wala bunge JITAFAKARI mwenyewe alafu jiulize Kama unastahiki kua mtanganyika alieniuliza swali la kipumbavu namna hii.. nimejizuia Sana nisikuvurumishe
Wew e ndio maana nyinyi CCM sio wazima yaàni hesabu za mapato na matumizi ya duka langu sio haki yangu kujua, kuhoji na kutaka uwahijibkaji? We Mola tuhurumie, kwahio na kutekwa na kuuawa Kwa kuhoji pia hio dhulma ni ya kunyamanziwa? Am done siongei na mzima hapasasa CAG inahusiana nn na haki? ndo maaana sometimes mnaitwa manyumbu
anaewanyima haki waislam si ndo huyo watu wanataka kupambana nae trh 9 dec ? na yey anasema watu wasiandamane ili huyo mtesi wake aendelee kumnyima haki vzr"Itakua ni ajabu muislam akawa anaunga mkono tarehe 9 eti watu wakaandamane eti wanadai haki" - amesema Sheikh
Wasaa za Masheikh zinaendelea kuhusu haki na maandamano, ila wajue tu wasihusishe masuala ya dini na ubaguzi katika kudai haki.
Sheikh unamkataza huyo muumini wa kiislamu kuandamana kudai haki unamnyima uhuru wake wa kutafuta haki, hata hivyo maandamano ya disemba 9, 2025 ni ya amani kudai haki lakini kama mamlaka zitatumia nguvu nyingi kama walivofanya Oktoba 29 basi siyo kosa la muandamanaji ni mamlaka kuwajibishwa na ukumbuke pia tayari Gen Z tumepeleka barua kwa mamlaka za ulinzi kuwa tarehe hiyo tunaingia barabarani kwa amani kudai haki
Sheikh acha kudanganya waumini wako kujikunyata kupambania haki yao na kutetea taifa
wenzio wanaiba mabilion na kuuza viungo vya watu , kisha wanatumia dini kama kichaka cha kuficha madhambi yaosasa CAG inahusiana nn na haki? ndo maaana sometimes mnaitwa manyumbu