Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Sisi waislamu tunajuwa haki gani tunaminywa na ukiniuliza haki gani tunanyimwa waislam nitakwambia hata haki 10 zinafika kwenye nchi hii tunanyimwa, lakini wao tuwe makini nchi ipo kwenye mapambano hivi sasa.
Vita vya kiuchumi kuna maadui wa nje na ndani, na bado sasa hivi kuna mpangilio tarehe 9 kitu kibaya sana kinaandaliwa katika nchi, litakuwa jambo la ajabu muislam iwapo anaungana na mawazo hayo watu waingie barabarani kwenda kuandamana kudai haki. Tumeaona hapa yalitokea tarehe 29