PostGE2025 Sheikh Pemba: Itakuwa ni ajabu Muislam akiunga mkono maaandamano ya tarehe 9 Disemba

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sisi waislamu tunajuwa haki gani tunaminywa na ukiniuliza haki gani tunanyimwa waislam nitakwambia hata haki 10 zinafika kwenye nchi hii tunanyimwa, lakini wao tuwe makini nchi ipo kwenye mapambano hivi sasa.

Vita vya kiuchumi kuna maadui wa nje na ndani, na bado sasa hivi kuna mpangilio tarehe 9 kitu kibaya sana kinaandaliwa katika nchi, litakuwa jambo la ajabu muislam iwapo anaungana na mawazo hayo watu waingie barabarani kwenda kuandamana kudai haki. Tumeaona hapa yalitokea tarehe 29
Your browser is not able to display this video.
 
“Wanapenda lau mgekuwa makafiri kama wao walivyo makafiri, ili muwe sawa. Basi msiwafanye marafiki mpaka wahame katika njia ya Mwenyezi Mungu. Wakikengeuka, basi washikeni na wauweni popote mnapowakuta. Wala msiwafanye marafiki wala wasaidizi.” (Qur’an 4:89)
 
Vipi kama mabumunda yanayarudisha maandazi kwenye kikaango chenye mafuta ya moto?
 

HAKI haina dini bila kujua hawa machawa wamechangia watu kufa
 
Ati Mtume aliingia mkataba na watawala wa Madina hata ingawa mkataba huo haukuwa unazingatia haki za Waislamu!!😁
Masheikh Ubwabwa kwa kuwapa Waislamu habari nusu nusu bana! Ilimradi tu wawadanganye!
Ukweli wa Kilichotokea ni kuwa Mtume Muhammad baada ya kuona kuwa kwa kipindi hicho hakuwa na NGUVU ZA KIJESHI ndiyo maana aliingia mkataba huo wa ulaghai ili kuwapumbaza wakazi wa Madina. Na baada ya kujijenga kivita ndipo MUHAMMAD aliwachinja wakazi wa Madina ktk vita. Ndiyo maana Quran yenu mnaitofautisha kati ya revelation za Mecca (za amani) na revelation za Madina (zenye ukatili)
Taqqya Taqqya Taqqya maislamists bana! (Hapa siwajumuisha waislamu wa kawaida; hata ingawa na wao tunawalaumu kwa kutopaza sauti kulaani maislamists)
 
wenzio wanaiba mabilion na kuuza viungo vya watu , kisha wanatumia dini kama kichaka cha kuficha madhambi yao

Watu weus tunahitaj maombi
sasa hio inahusiana vp na haki yako? kuna billion zako zimeibiwa apo?
 


Wafuasi wa shetani mnahangaika sana. Wao Mungu wa kweli, kamwe hawataacha kuhubiri juu ya haki maana ndiyo msingi wa mafundisho ya Mungu wa kweli. Mungu wetu ni Mungu wa haki, na amewaagiza watu wake kutendeana haki. Hakuna siku hata moja ninyi wafuasi waaminifu wa shetani mtasimama mstari mmoja na wamchao Mungu wa kweli, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo.
 
Hata shetani ana uwezo wa kusema kama ulivyoandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…