PostGE2025 Sheikh Pembe: Ni ajabu kama Wakristo hawatolipinga hili la Desemba 25

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Akiwa anazungumza hivi karibuni Shaban Pembe amesema kwamba itakuwa ni kitu cha kushangaza kama Wakristo hawatopinga na kukemea maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kwenye siku ya Krismasi

"Itakuwa ni jambo la ajabu wakati wao wanakwenda kwenye ibada zao, kisha kuna genge linaenda kujimix na Wakristo ili waharibu amani ya nchi ili ionekane Wakristo ndo wameharibu. Maana kinachotokea hapa kuna genge la wahuni linataka liende kujichanganya na Wakrosto ili ionekane Wakristo ndo wameharibu"

Kumbe Madrasa "graduate"! I have no comment!
 
Huyu sheikh ubwabwa ina maana haoni upinzani wa maandamano hayo siku hiyo toka kwa wachungaji?
 
Kumbe Madrasa "graduate"! I have no comment!
1000623418.jpg
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza hivi karibuni Shaban Pembe amesema kwamba itakuwa ni kitu cha kushangaza kama Wakristo hawatopinga na kukemea maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kwenye siku ya Krismasi

"Itakuwa ni jambo la ajabu wakati wao wanakwenda kwenye ibada zao, kisha kuna genge linaenda kujimix na Wakristo ili waharibu amani ya nchi ili ionekane Wakristo ndo wameharibu. Maana kinachotokea hapa kuna genge la wahuni linataka liende kujichanganya na Wakrosto ili ionekane Wakristo ndo wameharibu"

Ni sifa zp zinamfanya mtu aitwe sheikh na elimu zao zipoje
 
Wakuu,

Akiwa anazungumza hivi karibuni Shaban Pembe amesema kwamba itakuwa ni kitu cha kushangaza kama Wakristo hawatopinga na kukemea maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kwenye siku ya Krismasi

"Itakuwa ni jambo la ajabu wakati wao wanakwenda kwenye ibada zao, kisha kuna genge linaenda kujimix na Wakristo ili waharibu amani ya nchi ili ionekane Wakristo ndo wameharibu. Maana kinachotokea hapa kuna genge la wahuni linataka liende kujichanganya na Wakrosto ili ionekane Wakristo ndo wameharibu"

Empty head. Ahamie Somalia
 
Ameteuliwa lini kuwa Msemaji wa Wakristo?
 
Back
Top Bottom