Kwani kuna sheikh wa Bakwata Mwenye PhD from a world recognized University! Acha university bza dini za nchi za kiarabu ambazo ni sawa na madrasaSheikh Shaban Pembe ametoa onyo kwa vijana ambao ni Waislamu kutolalamika au kubeba ajenda za watu wengine. Amesema kuwa kutokana na misimamo yao, baadhi ya watu wamekuwa wakiwaita “machawa,” kuwakejeli kuwa hawana PHD na kudai hawajasoma, jambo alilosisitiza halipaswi kuwakatisha tamaa wala kuwapeleka kinyume na maadili yao.
Sheikh Shaban Pembe ametoa onyo kwa vijana ambao ni Waislamu kutolalamika au kubeba ajenda za watu wengine. Amesema kuwa kutokana na misimamo yao, baadhi ya watu wamekuwa wakiwaita “machawa,” kuwakejeli kuwa hawana PHD na kudai hawajasoma, jambo alilosisitiza halipaswi kuwakatisha tamaa wala kuwapeleka kinyume na maadili yao.
Mh! Siyo ******* ila wana extremely very poor reasoningHakuna wote nini ******* Tu
Kabisa mkuu huwezi kuunganisha maswala ya udini na taifa kwa haili ya sasa kwa lengo la kutatua tatizo kwa kujifanya hakuna tatizo that's a straight up fuckin bullshitMh! Siyo ******* ila wana extremely very poor reasoning
Sheikh Shaban Pembe ametoa onyo kwa vijana ambao ni Waislamu kutolalamika au kubeba ajenda za watu wengine. Amesema kuwa kutokana na misimamo yao, baadhi ya watu wamekuwa wakiwaita “machawa,” kuwakejeli kuwa hawana PHD na kudai hawajasoma, jambo alilosisitiza halipaswi kuwakatisha tamaa wala kuwapeleka kinyume na maadili yao.
Aache Maneno ,aweke vyeti hapaSheikh Shaban Pembe ametoa onyo kwa vijana ambao ni Waislamu kutolalamika au kubeba ajenda za watu wengine. Amesema kuwa kutokana na misimamo yao, baadhi ya watu wamekuwa wakiwaita “machawa,” kuwakejeli kuwa hawana PHD na kudai hawajasoma, jambo alilosisitiza halipaswi kuwakatisha tamaa wala kuwapeleka kinyume na maadili yao.
Mambo ya udini kwa sasa yameshika kasi nadhan ni kututoa kwenye reliHatutakubali huu ujinga wa udini kama diversionary tactic.
Vita yetu ni dhidi ya muuaji Samuya na genge lake .
Waliouwawa wapo wakristo, waislamu, wapagani , weusi ,weupe , wafupi , warefu , vijana, wazee , watoto na walemavu .
Hivyo hatutakubali kutolewa relini kumsafisha muuaji, hapana kabisa.
Hao wapumbavu muda wanaua watu hawakua wanauliza dini wala kitu kingine na ndio maana hata Sheikh Sharifu Majini alipigwa risasi akiwa nyumbani kwake.
Muuaji ataenda kunakomstahili ambapo ni mahakama ya kimataifa ya wahalifu.
Na hatutoi kwenye reli anajidanganya kabisa.Mambo ya udini kwa sasa yameshika kasi nadhan ni kututoa kwenye reli
Huyu bi chura tukipata katiba mpya tutampiga kitanzi hapahapa Tg!
Madrasa kuna vyeti? 😳😳😳😳😳Nilidhani wangetoa vyeti kumaliza mchezo kumbe maneno tu
Hakuna ndweele hapo.. tusubirie December 9 wanalialia ili .......Unamaanisha nini yaliopita sii ndweli. Watu wamekufa wengi sana kama wadudu na unasema yaliopita sindwele na unajiita mtumishi wa mungu/Allah