Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Ni kweli hakuna aliyesema uisilamu hauna kila kitu. Uisilamu una kila kitu, ila masheikh wengi wa Bakwata hawana elimu ya dunia. Tatizo letu ni kutokuwepo kwa haki, na sio dini ipi ina kila kitu. TEC wamejikita kwenye tatizo lililo wazi, na hakuna anayejali dini ya rais.