Sheikh Pembe: Wanatuita chawa, hatuna PHD hatujasoma, ndani ya uislamu kuna kila kitu

Ni kweli hakuna aliyesema uisilamu hauna kila kitu. Uisilamu una kila kitu, ila masheikh wengi wa Bakwata hawana elimu ya dunia. Tatizo letu ni kutokuwepo kwa haki, na sio dini ipi ina kila kitu. TEC wamejikita kwenye tatizo lililo wazi, na hakuna anayejali dini ya rais.
 
Kwani kuna sheikh wa Bakwata Mwenye PhD from a world recognized University! Acha university bza dini za nchi za kiarabu ambazo ni sawa na madrasa
Basi hata hiyo PhD ya dini ya kiislamu aitoe basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…