Pre GE2025 Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono Maandamano ya CHADEMA ya 24/01/2024

Pre GE2025 Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono Maandamano ya CHADEMA ya 24/01/2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ponda Issa Ponda , ambaye ni miongoni mwa Mashehe Wachache wa eneo la Maziwa makuu wanaopigania haki , leo amejitokeza hadharani kuunga mkono maandamano ya Wananchi ya kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi

Shehe Ponda amedai kwamba kimsingi yale maoni ya wananchi , Wadau na Taasisi mbalimbali ndio katiba yenyewe na ni Katiba kamili , pale kinachokosekana ni Itifaki tu , hivyo yeyote anayepinga anapaswa kukemewa kwa nguvu zote .

Screenshot_2024-01-21-23-09-22-1.png
 
Huyu alitupiwaga majini ya jalalani ambayo mara nyingi humfanya mtu awe kama mwehu, anakuwa anapenda vurugu.

Atafute maalim amtolee
 
Takataka, nawabieni hakuna maamdamano, niko hapa nimekaa, wapotezeeni muda na pesa bure wafuasi wenu
 
Huyu alitupiwaga majini ya jalalani ambayo mara nyingi humfanya mtu awe kama mwehu, anakuwa anapenda vurugu.

Atafute maalim amtolee
Masikini wanawaza Ushirikina tu !
 
Back
Top Bottom