ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ponda Issa Ponda , ambaye ni miongoni mwa Mashehe Wachache wa eneo la Maziwa makuu wanaopigania haki , leo amejitokeza hadharani kuunga mkono maandamano ya Wananchi ya kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi
Shehe Ponda amedai kwamba kimsingi yale maoni ya wananchi , Wadau na Taasisi mbalimbali ndio katiba yenyewe na ni Katiba kamili , pale kinachokosekana ni Itifaki tu , hivyo yeyote anayepinga anapaswa kukemewa kwa nguvu zote .
View attachment 2879100
View: https://twitter.com/ccm_tanzania/status/1749332280693465282?t=sVOmHUSYuEl6D1_MS9WyhQ&s=19