Pre GE2025 Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono Maandamano ya CHADEMA ya 24/01/2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

View: https://twitter.com/ccm_tanzania/status/1749332280693465282?t=sVOmHUSYuEl6D1_MS9WyhQ&s=19
 
Namm nitashiriki maandamano hayo m ni ccm ila nitashiriiki
 
Sheikh Ponda sio wa kuaminika sana. Huwa anaangalia kanisa limeegemea wapi. Kanisa lingesema linaunga mkono basi ye asingetoa tamko. Ila jana KKKT wamesema wanaitii serikali nae kaibuka leo.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Panda alitoa kauli hiyo kabla ya Malasusa kutoa ule uharo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…