Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Serikali sikivu ya CCM inawajibika kufanya mabadiliko makubwa ya kisheria na kuondoa hayo yanayoleta mivutano Ponda, na hatimae tunaelekea kwenye maridhiano ya hiyari๐Sheikh Ponda Issa Ponda Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Tuondoe yanayoleta mivutano na chuki ili tufanye maridhiano. Sheikh Ponda ameyasema hayo katika kipindi cha Kasri kupitia Crown Fm Mei 13, 2026
Serikali sikivu ya CCM inawajibika kufanya mabadiliko makubwa ya kisheria na kuondoa hayo yanayoleta mivutano Ponda, na hatimae tunaelekea kwenye maridhiano ya hiyari๐
Naunga mkono hoja za Sheikh Ponda Issa Ponda.Sheikh Ponda Issa Ponda Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Tuondoe yanayoleta mivutano na chuki ili tufanye maridhiano. Sheikh Ponda ameyasema hayo katika kipindi cha Kasri kupitia Crown Fm Mei 13, 2026
โSuala la maridhiano ni jambo kubwa sana kitaifa, lakini haliwezi kufikiwa bila kufahamu hali halisi ilivyo. Msingi muhimu unaosisitizwa ni kuwepo kwa utaratibu wa kupata ukweli wa mambo, ndiyo maana sisi tulipendekeza hivyo.
Kwa mfano, mtaendaje kwenye maridhiano wakati bado kuna mambo yanayozalisha chuki kati yenu? Kwa sasa wapo viongozi wakubwa wa vyama vya upinzani walioko gerezani huku mkizungumza kuhusu maridhiano.
Soma Pia: Sheikh Ponda: Tume ya Jaji Chande ilipaswa iseme mauaji ya Oktoba 29 yalikuwa halali au ya jinai
Pia kwa upande wetu sisi Waislamu, kumekuwa na malalamiko ya kesi nyingi za kubambikiziwa, ambapo baadhi ya Masheikh wamehukumiwa kunyongwa.โ Sheikh Ponda
Serikali sikivu ya CCM ndio pekee inazungumza habari ya maridhiano gentleman, acha upotoshaji plz ๐Tatizo ni kwamba CCM hawako tayari kwa maridhiano yeyote au mabadiliko. Wanajua kuwa huo ndiyo utakuwa mwisho wao.
Serikali sikivu ya CCM ndio pekee inazungumza habari ya maridhiano gentleman, acha upotoshaji plz ๐
si kweli,Maneno matupu hayavunji mfupa. Hayo maridhiano wameyaongea kwa miaka 5 sasa.
si kweli,
halafu maridhiano ni mchakato unaohitaji muda wa kutosha wa kujadiliana na sio kongamano au warsha ya siku moja tu gentleman.
ni vema kua wastahilivu na wenye subra wakati mipango na maandalizi ya mazingira ya maridhiano hayo yakiendelea ๐
Gentleman,Si kweli una maana gani? Kwa hiyo zile 4R zilikuwa ni geresha? Au hujui kwe hizo 4R kuna R moja ya maridhiano!