Sababu aliwapinga watawala na kwakuwa walikuwa wanasikika peke yao ndio maanaNilipokuwa mdogo sekondari skuli niliamini na kuaminishwa kuwa sheikh Ponda ni mtu mbaya.. asiyefaa katika jamii, muuaji, gaid n.k
Nashukuru nimekuwa mtu sasa naamini kinyume chake.
Naomba Mungu anisamehe kwa fikra zile utotoni.
Una ushahidi gani kwamba ponda ni jihadist?!..kwamba ana ajenda ya daesh?!
sheikh asisahau pia wakati mwingine kuna dhulma ambazo tafsiri yake anayo mwenyezi Mungu pekee.....sidhani kama sheikh anaaminika anapozungumzia dhulma maana tayari anaupande kisiasa...
Viongozi wa dini wanapaswa kuwa neutral ili wanapokemea basi tuwaamini na tuamini kweli wanasimamia haki au wako upande wa haki..
Una maana neutral kama kina Askofu Pengo au Rashid au wale wa Bakwata?
Hilo nalo lipo wazi kabisa unahitaji mtu abebe begi kama kibatara kuthibitisha hilo? Nadhani kama hautachanganya kaunafiki unalielewa hiloUna ushahidi gani kwamba ponda ni jihadist?!..kwamba ana ajenda ya daesh?!
Mimi ponda ni mwl wangu wa dini,akinifundisha kwamba dola ya kiislam haiwezekani tz kwa kuwa Kuna mchanganyiko mkubwa wa wasio waislam,ndomana nauliza kipi kinachofanya muamini ana ajenda za daesh au Taliban?Hilo nalo lipo wazi kabisa unahitaji mtu abebe begi kama kibatara kuthibitisha hilo? Nadhani kama hautachanganya kaunafiki unalielewa hilo
Basi chadema na haki ni dugu moja
☝️☝️Utabiri wa hali ya hewa wa kawaida unaonyesha yatakuwepo manyunyu kuanzia mwishoni mwa juma na yanaweza kwenda siku mbili au tatu kwa maeneo ya Dar es Salaam na jirani.
Nasubiri kusikia viongozi wetu watakavyoitangaza hiyo kama 'matokeo ya sala zao'.
View attachment 2022850
Huyu baba ana mabinti nafikiri watano then ana mtoto wa kiume mmoja nafikir,watoto wake wa kike wana akili na wamesoma mashallaha na ashawahi weka mkataba na moja ya waume wa mtoto wake kama anataka kumuoa baasi amsomeshe kwanza la sivyo aache amsomeshe mwenyewe...ana msimamo kiukweli namkubali sana..Nilipokuwa mdogo sekondari skuli niliamini na kuaminishwa kuwa sheikh Ponda ni mtu mbaya.. asiyefaa katika jamii, muuaji, gaid n.k
Nashukuru nimekuwa mtu sasa naamini kinyume chake.
Naomba Mungu anisamehe kwa fikra zile utotoni.