n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Huyu siro anachokitafuta huko kwenye imani za watu atakipata.Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools.
Tutaomba kukutana na wenzetu maaskofu ili tutoke na tamko la pamoja, anaandika Ponda katika ukurasa wake wa twitter.
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1935628
Eti hili ndilo jambo muhimu kuliko yote alilojifunza Siro kwenye ziara yake ya Rwanda!Sasa polisi wameshindwa kufanya observations zao kimya kimya undercover mpaka waende kwenye vyombo vya habari kuamsha mihemko ya wanadini?
Huko ni kukosa akili na ni ishara kwamba hawako serious.
Chadema tena?!Watu wanaojitambua wanashindwa kumuelewa Sirro kwa sababu ya tabia iliyokithiri kwa mapolisi kuwabambikia watu vyesi kwa nia ya kuwakomoa tu.
Polisi hawa ambao Hamza kawaua kwa sababu tu ya kumdhulumu mali yake lakini wao tayari wameshageuza kibao na kusingizia eti Hamza alikuwa ni gaidi.
Sasa wanapoulizwa wanafikiri ni kwa nini basi kawaua mapolisi tu bila kumjeruhi hata raia moja wakati raia walikuwemo kibao hawajibu na badala yake wanajikanyaga tu.
Mwisho wa siku watakuja kupandikiza silaha ndani ya madrasa na kuwabambikia mashehe kesi ya uongo kisa tu wamewaunga Chadema mkono. Tuko hapa.
Mmh Hakuna chakujadili hapo achen serikal ifanye kaz yake! Hamuaminiki nyie woteSheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools.
Tutaomba kukutana na wenzetu maaskofu ili tutoke na tamko la pamoja, anaandika Ponda katika ukurasa wake wa twitter.
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1935628
Unajua Tanzania bhana kuna mambo yana endeleaga chini chini yani kiasi kwamba inaskiliziwa ku (pull the trigger)Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools.
Tutaomba kukutana na wenzetu maaskofu ili tutoke na tamko la pamoja, anaandika Ponda katika ukurasa wake wa twitter.
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1935628
Mr. Una evidence juu ya maelezo yako???Sheikh ponda asichanganye siasa na dini
Duniani kote serkali humonita mafunzo yanayokinzana na imani za dini husika
Haiwezekean madrasa au Sunday school watoto wanafundishwa ugaidi then serkali ijitenge
Mr shkamoo.. i salute you kwa comment yakoSasa polisi wameshindwa kufanya observations zao kimya kimya undercover mpaka waende kwenye vyombo vya habari kuamsha mihemko ya wanadini?
Huko ni kukosa akili na ni ishara kwamba hawako serious.
Ndo hivyo kulingana na uzoefu.Chadema tena?!