Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Bila shaka kuna members wa JF wapo Mahakama ya Kisutu, tafadhali tujuzeni kuhusu hukumu yake ambayo ni leo.
NB: Namtakia kifungo chema
NB: Namtakia kifungo chema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka kuna members wa JF wapo Mahakama ya Kisutu, tafadhali tujuzeni kuhusu hukumu yake ambayo ni leo.
NB: Namtakia kifungo chema
Bila shaka kuna members wa JF wapo Mahakama ya Kisutu, tafadhali tujuzeni kuhusu hukumu yake ambayo ni leo.
NB: Namtakia kifungo chema
Bila shaka kuna members wa JF wapo Mahakama ya Kisutu, tafadhali tujuzeni kuhusu hukumu yake ambayo ni leo.
NB: Namtakia kifungo chema
Sasa kw mujibu wa maelezo yako wanaohujumu mali ya waislamu ni kina nani? kesi iliyopo mahakamani ni ya nani dhidi ya nani? je! unadhani mahakama itakuwa inapendelea! kama ndio; itakuwa inapendelea upande gani? kwa nini na wewe umejua je?Tukubali tukatae ukweli utabaki kuwa ukweli, MALI ZA WAISLAMU ZINAHUJUMIWA.
Leo hii kama Mwl. Nyerere na Tewa Said Tewa wangekuwa hai nafikiri wangesikitika sana, na wao ndio wangekuwa mashahidi wa kwanza kwenye hii kesi, kiwanja hiki cha chang'ombe ni wao ndio walio kitoa kwa waislamu ili kijengwe Chuo cha waislamu.
Cha ajabu Leo hii viongozi wa bakwata wana amua kukata vipande vipande na kuuza, na pesa hazijulikani zilipo, sijui kwa manufaa ya nani?.
VIONGOZI WA DINI TUMUOGOPE MWENYEZI MUNGU NA TUJIEPUSHE NA TAMAA hebu tizameni watu wanahukumiwa bure, kisa ni TAMAA ZENU ziwaponza waumini wenu. OLE WENU!!!!!.
Ashugulikiwe mapema, kabla hajafikia level ya Boko Haram, Alshabab na makundi mengineyo mengi ya Kiislam yanaifanya Dunia isiwe na amani alafu wanajifanya wanapigania haki fulani, I dont think kwamba wanamuabudu Mungu huyu tunayemuabudu nahisi wanamuabudu shetani maana tunaamini apendaye damu kumwagika ni Shetani
Sasa kw mujibu wa maelezo yako wanaohujumu mali ya waislamu ni kina nani? kesi iliyopo mahakamani ni ya nani dhidi ya nani? je! unadhani mahakama itakuwa inapendelea! kama ndio; itakuwa inapendelea upande gani? kwa nini na wewe umejua je?
Mimi nadhani tusubiri kupokea maamuzi ya mahakama kwa kuwa ndio imesikiliza hoja za pande zote.
bila shaka kuna members wa jf wapo mahakama ya kisutu, tafadhali tujuzeni kuhusu hukumu yake ambayo ni leo.
Nb: Namtakia kifungo chema
Mtu huyu anastahili kuwa jela kwa miaka mingi kwa kuhamasisha vurugu za kidini. Kuahirishwa hukumu inatia shaka kwa haki kutendeka ikizingatiwa rekodi mbaya ya mahakama zetu.HUKUMU YA PONDA YAINGIA DOSARI
![]()
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Sheikhe Ponda Issa Ponda akihutubia baadhi ya wafuasi wake.HUKUMU ya Kesi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya maandamano haramu imeahirishwa mpaka tarehe 9 mei mwaka huu.
Kesi hiyo imeharishwa baada ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Victoria Nongwa ,kutokuwepo Mahakamani hapo.
Awali hakimu huyo alitarajiwa kuketi katika kiti cha enzi na kutoa hukumu ya kesi hiyo Na.245/2012 inayomkabili Ponda na wenzake.
Aprili 3 mwaka huu:Mawakili wa upande wa Jamhuri ,Tumaini Kweka na Jessy Peter na mawakili wa utetezi Juma Nassor na Njama waliwasilisha majumuisho yao mahakamani hapo kwa njia ya maandishi ambapo mawakili wa upande wa jamhuri waliiomba mahakama iwaone washitakiwa wote wana hatia na wapewe adhabu kwa mujibu wa sheria.Wakati mawakili wa utetezi waliiomba mahakama iwaone washitakiwa hawana hatia na iwaachilie huru kwa sababu hawakutenda makosa yanayowakabili na kwamba upande wa jamhuri umeshindwa kuthibitisha kesi yao.Chanzo habarimpya.com - TanzaniaMy Take: Huu ni uonevu tu hii hukumu inataka kupikwa, hii inadhihirisha hana hatia sasa wanaanza dana dana tu ili aendelee kukaa mahabusu.
Sasa kw mujibu wa maelezo yako wanaohujumu mali ya waislamu ni kina nani? kesi iliyopo mahakamani ni ya nani dhidi ya nani? je! unadhani mahakama itakuwa inapendelea! kama ndio; itakuwa inapendelea upande gani? kwa nini na wewe umejua je?
Mimi nadhani tusubiri kupokea maamuzi ya mahakama kwa kuwa ndio imesikiliza hoja za pande zote.
Aisee! haya ndugu ngoja mimi niondoke kwa sababu hii mada sasa! mmm!'bakwata ni tawi la kanisa'
Ashugulikiwe mapema, kabla hajafikia level ya Boko Haram, Alshabab na makundi mengineyo mengi ya Kiislam yanaifanya Dunia isiwe na amani alafu wanajifanya wanapigania haki fulani, I dont think kwamba wanamuabudu Mungu huyu tunayemuabudu nahisi wanamuabudu shetani maana tunaamini apendaye damu kumwagika ni Shetani
duh!ikiwa hivyo ni kweli,nitaanza kuamini kuwa hihi nchi haina udiniamesha achiwa kuhuru, hakua na kesi ya kujibu, hakimu ameamuru alipwe fidia na kurudishiwa kiwanja chake cha chongombe.
HUKUMU YA PONDA YAINGIA DOSARI
![]()
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Sheikhe Ponda Issa Ponda akihutubia baadhi ya wafuasi wake.HUKUMU ya Kesi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya maandamano haramu imeahirishwa mpaka tarehe 9 mei mwaka huu.
Kesi hiyo imeharishwa baada ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Victoria Nongwa ,kutokuwepo Mahakamani hapo.
Awali hakimu huyo alitarajiwa kuketi katika kiti cha enzi na kutoa hukumu ya kesi hiyo Na.245/2012 inayomkabili Ponda na wenzake.
Aprili 3 mwaka huu:Mawakili wa upande wa Jamhuri ,Tumaini Kweka na Jessy Peter na mawakili wa utetezi Juma Nassor na Njama waliwasilisha majumuisho yao mahakamani hapo kwa njia ya maandishi ambapo mawakili wa upande wa jamhuri waliiomba mahakama iwaone washitakiwa wote wana hatia na wapewe adhabu kwa mujibu wa sheria.Wakati mawakili wa utetezi waliiomba mahakama iwaone washitakiwa hawana hatia na iwaachilie huru kwa sababu hawakutenda makosa yanayowakabili na kwamba upande wa jamhuri umeshindwa kuthibitisha kesi yao.Chanzo habarimpya.com - TanzaniaMy Take: Huu ni uonevu tu hii hukumu inataka kupikwa, hii inadhihirisha hana hatia sasa wanaanza dana dana tu ili aendelee kukaa mahabusu.
Wakiristu aka Wagalatia ndio waliomwaga damu ya mungu wao na ushahidi wanao, wanainywa na mkate !
Mungu wa Waislaam (SWT) ni huyu:
"Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipokuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye Salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake. Mwenye Nguvu, anaye fanya analolitaka, Mkubwa, na ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo mshirikisha nayo. Qur'an: 59:23.