PostGE2025 Sheikh Ponda : Rais ametoa tamko kwa waliouawa lakini hajatoa tamko kwa watu walioua, na hakuna ujumbe mzito kulaani mauaji

PostGE2025 Sheikh Ponda : Rais ametoa tamko kwa waliouawa lakini hajatoa tamko kwa watu walioua, na hakuna ujumbe mzito kulaani mauaji

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Manyonyo amewabariki hao wauaji mana yeye ndio amewatuma.
 
Ccm wamepoteana.

Hoja zao
Uchaguzi ulikua safi, watu walijitokeza kwa wingi.

Samia anakubalika ndio mana amepata ushindi wa kishindo.

Kulikua na vurugu, na uharibifu wa mali.

Hao hao wanaimba MARIDHIANO
Maridhiano ya nini, na kwa ajili ipi wakati kila kitu kimeenda sawa kama wamavyojaribu kuaminisha umma.

Maridhiano hutajwa pale ambapo wahusika wa kuridhiana wamekiri changamoto au matatizo ndio msingi wa kuridhiana huanzia hapo.

Ni wapi ccm wamekiri tatizo lolote mpaka watake kuridhiana??

Hivi wanatambua hata wanachokisema.

Ni sawa na mtu atangaze ya kuwa nyumba yake ni safi na salama kila idara lakini pembeni anazungumzia kufanya fumigation, sasa umesema nyumba yako ni safi hapohapo unazungumzia kuua vijidudu kama sio kuchanganyikiwa ni nini hiki.
 
Nasisitiza Amani ya Tanzania ndiyo kipaumbele, vingine vinafuata nyuma waambie na wenzio.
Acheni kuua raia.. unapata faida gani kuua mnaulizwa huku sawa mmeua mmechukuliwa hatua gani nyinyi mna kibari cha kuua na msichukuliwe hatua yoyote?
 
Watakuja machawa kina Lucas mishanga,Lucha nyamitako watakuja kukwambia shehe ponda ni mburundi.
 
Back
Top Bottom