Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Watu wenye akili na mapenzi mema kwa nchi ndio hawa sasaKatibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema;
"Mwezi Oktoba mwaka huu nchi yetu inatarajia kufanya uchaguzi mkuu, katika kulizungumzia jambo hilo nyeti tumeona ni vyema tukayarejea maneno muhimu tulioyatoa katika Baraza la Eid lililopita Machi 31, 2025 ya kwamba kauli ya CHADEMA ya 'No Reforms, No Election' na ile ya ACT Wazalendo ya kupinga uchaguzi wa siku mbili kule Zanzibar, zinaakisi malalamiko ya uchaguzi 'mbovu' kama ule wa serikali ya mitaa 2019, uchaguzi mkuu 2020, na uchaguzi wa serikali za mtaa 2024"
"Ukiachilia mbali vyama hivyo, viongozi mashuhuri na wengine wastafu wa serikali, wanasheria na viongozi wa dini kwa nyakati tofauti wamekiri kwamba chaguzi hizo zilikua na kasoro kubwa mno, wengi wao wanasema kasoro hizo ni kubwa kwa kiasi cha kusema hapakuwa na uchaguzi kwa kuwa mfumo uliotumika unapoka haki za wananchi za kidemokrasia, haki ya kuishi na kuhatarisha usalama wa taifa, tunatoa wito kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuitisha wadau wawakilisha wa umma kujadili utekelezwaji wa makubaliano ya msingi ya mfumo wa uendeshwaji wa uchaguzi yaliyofikiwa kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu Oktoba 2025"
"Aidha tumelipokea kwa mstuko mkubwa tamko la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuliagiza Jeshi la Ulinzi (JWTZ) lijiandae kwa uchaguzi mkuu Oktoba 2025, mshtuko wetu ni kwa kuwa suala la uchaguzi ni la kiraia na jeshi halihusiki na masuala ya kiraia, kumbukeni kumekuwa na tuhuma kuhusu Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama kudaiwa kuingilia masuala ya chaguzi zilizopita lakini pamoja na hayo kwa mujibu wa Katiba ya nchi wao ndio weyenye dhamana ya kulinda uchaguzi wa kiraia, jambo muhimu kwa Rais Samia ni kuzuwia kile wanachokiona wananchi, majeshi hayo kushiriki siasa"
"Aidha, kwa heshima kubwa tunatumia fursa hii kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan atoe ufafanuzi wa kuwahakikishia Watanzania na Dunia kwa ujumla kwamba Jeshi la wananchi (JWTZ) litaendelea na wajibu wake wa kulinda mipaka ya nchi tu na kamwe halitaingilia uchaguzi mkuu ujao na mwingine, Watanzania wengi kupitia viongozi wa kijamii, kidini, makundi ya harakati na vyama vya siasa wamekua wakilalamikia madhila na ukandamizaji unaotokana na mfumo huo wa siasa tuliouna huko nyuma, hivyo"
Sema mwanachama wa ACTKatibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema;

Watumishi wa Mungu ni rahisi sana kuwatambua. Huhitaji TochiSheikh Ponda Issa Ponda daima ataendelea kubakia kama mmoja wa watetezi wa kweli wa haki kote nchini.
Hivi kiziwi huwa anasikia?Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema;
"Mwezi Oktoba mwaka huu nchi yetu inatarajia kufanya uchaguzi mkuu, katika kulizungumzia jambo hilo nyeti tumeona ni vyema tukayarejea maneno muhimu tulioyatoa katika Baraza la Eid lililopita Machi 31, 2025 ya kwamba kauli ya CHADEMA ya 'No Reforms, No Election' na ile ya ACT Wazalendo ya kupinga uchaguzi wa siku mbili kule Zanzibar, zinaakisi malalamiko ya uchaguzi 'mbovu' kama ule wa serikali ya mitaa 2019, uchaguzi mkuu 2020, na uchaguzi wa serikali za mtaa 2024"
"Ukiachilia mbali vyama hivyo, viongozi mashuhuri na wengine wastafu wa serikali, wanasheria na viongozi wa dini kwa nyakati tofauti wamekiri kwamba chaguzi hizo zilikua na kasoro kubwa mno, wengi wao wanasema kasoro hizo ni kubwa kwa kiasi cha kusema hapakuwa na uchaguzi kwa kuwa mfumo uliotumika unapoka haki za wananchi za kidemokrasia, haki ya kuishi na kuhatarisha usalama wa taifa, tunatoa wito kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuitisha wadau wawakilisha wa umma kujadili utekelezwaji wa makubaliano ya msingi ya mfumo wa uendeshwaji wa uchaguzi yaliyofikiwa kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu Oktoba 2025"
"Aidha tumelipokea kwa mstuko mkubwa tamko la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuliagiza Jeshi la Ulinzi (JWTZ) lijiandae kwa uchaguzi mkuu Oktoba 2025, mshtuko wetu ni kwa kuwa suala la uchaguzi ni la kiraia na jeshi halihusiki na masuala ya kiraia, kumbukeni kumekuwa na tuhuma kuhusu Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya usalama kudaiwa kuingilia masuala ya chaguzi zilizopita lakini pamoja na hayo kwa mujibu wa Katiba ya nchi wao ndio weyenye dhamana ya kulinda uchaguzi wa kiraia, jambo muhimu kwa Rais Samia ni kuzuwia kile wanachokiona wananchi, majeshi hayo kushiriki siasa"
"Aidha, kwa heshima kubwa tunatumia fursa hii kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan atoe ufafanuzi wa kuwahakikishia Watanzania na Dunia kwa ujumla kwamba Jeshi la wananchi (JWTZ) litaendelea na wajibu wake wa kulinda mipaka ya nchi tu na kamwe halitaingilia uchaguzi mkuu ujao na mwingine, Watanzania wengi kupitia viongozi wa kijamii, kidini, makundi ya harakati na vyama vya siasa wamekua wakilalamikia madhila na ukandamizaji unaotokana na mfumo huo wa siasa tuliouna huko nyuma, hivyo"
Anataka kusalia madarakani kwa mgongo wa jeshi
Hii ni mbaya sana,yeye anaenda kuongoza raia pamoja na hao wanajeshi na sio wanajeshi tuAnataka kusalia madarakani kwa mgongo wa jeshi
Watumishi wa Mungu ni rahisi sana kuwatambua. Huhitaji Tochi
HeheheLengo la Sheikh Ponda ni kuchanganya dini na siasa ili tuone kifuatacho ITV.
Rekebisha hapo kwenye heti weka eti mkuuSamia badala ya kufanya mabadiliko ya kiuchaguzi nimesikia heti unawaambia vijana wetu wa JWTZ wajiandae kuingilia uchaguzi hii ya wapi ?
Vijana wetu wa JWTZ tuliwasomesha na kujiunga na jeshi kwaajili ya kulinda nchi na sio masuala ya kisiasa au sio kwaajili ya kukwepa mabadiliko ya kiuchaguzi yaliyo shinikizwa na wananchi na watu wa ulaya na wengine wengi.
Suala la yeye kukwepa mabadiliko na kutaka kulitumia jeshi kulazimisha uchaguzi usio wa haki ni usaliti na makosa makubwa dhidi ya viapo alivyokula na halikubaliki.
Anataka kulitumia jeshi JWTZ kukandamiza demokrasia kwa maslahi yake binafsi kukwepa mabadiliko ya kiuchaguzi tunapinga kwa nguvu zote usiwatumie vijana wetu kwenye usaliti wa nchi.