PreGE2025 Sheikh Ponda: Spika anakuaje na wasiwasi wa taarifa za wananchi kuhusu utekaji badala ya kuzingatia wito wa kuchunguza?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Hii ndio aina ya masheikh tunawataka huko BAKWATA, sio kukaa kuandaa dua za kumuombea mama wakati wananchi wanateketea. Tunahitaji viongozi wa dini wanaohimiza uwajibikaji na utawala bora. Sio mtu anajitokeza anaongea upuuzi mpaka aibu unaanza kuona wewe!

====

Sheikh Ponda amesema;

Spika ameonesha ana wasiwasi na taarifa zinazotolewa na wananchi , akaonesha kwamba taarifa zile hazina uzito wowote ule. Katika hili tunapenda kumueleza kwamba sisi tunashangaa sana kusikia kwamba ana wasiwasi na taarifa za wananchi ambao wao ndio waathirika wakubwa sana?

Lakini unakuaje na wasiwasi wa taarifa usizingatie wito wa wananchi? Kwasababu wananchi wanaiomba bunge iunde tume ya uchunguzi, na kwa kufanya uchunguzi tutaweza kujua kwamba taarifa ile ya wananchi ni sahihi au siyo sahihi.

Hata kwenye Tweet niliyofanya juzi wito ulikuwa ni huo kwamba tunaomba tume ya uchunguzi yaani kwa maana kinachosisitizwa na wananchi ni kufanyika utafiti wa kina juu ya hali inayoendelea sasa hivi. Sasa mtu anayetoa taarifa uchunguzi ufanyike taarifa hiyo inatiliwa mashaka, mashaka gani sasa? Unatilia mashaka wito wa kutaka uchguzi ufanyike?

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Lakini baya zaidi ni kwamba katika wasiwasi ule ukiangalia mahojiano ya Spika, amesimama upande wa wanaoteka kiasi kwamba amefanya uchambuzi kuonesha kwamba yawezekana kabisa taarifa zile hazina usahihi kwasababu ziko taarifa ambazo zilitokea nyuma na hazikuwa sahihi . Kwanini tufike hapo kwenye kufanya uchambuzi wakati sisi wito wetu ni kutaka tume iundwe na kufanya uchunguzi na kama taarifa zile zitaonesha sio sahihi, tume ndio itasema kwamba taarifa hazikuwa sahihi. Wewe wajibu wako ulikuwa kuitikiwa wito wa wananchi na kuunda tume.

Baya zaidi ni kuwa mtaani kuna taarifa nyingi za utekaji lakini bunge linaonekana halifahamu, matarajio ni kuwa sio lazima mpaka watu waliombe bunge kwasababu wabunge ni wawakilishi wa wananchi, wanaishi mtaani, walitakiwa wafahamu hali inayoendelea mtaani na wafanye kazi ya kuchukua hatua stahiki lakini leo imefika mahala bunge limekuwa kama chombo mahususi kipo pale lakini si kwaajili ya watanzania na kwamba ili liweze kufanya kazi inabidi wananchi wazingatie masharti fulani.

Ponda ameyasema hayo kwenye mahojiano na Jambo TV akiongelea kuhusu mahojiano ya Spika Tulia kuhusu utekaji na matukio ya watu kupotea yanayoendelea nchini.

​
 
Kwangu mimi hata Bunge halipaswi kuchunguza haya maana nalo liko compromise na sio tena chombo cha kuaminika.

Chombo huru kutoka nje ya mipaka ya Tanzania tena kisitoke Africa, kichunguze na kutoa taarifa hadharani.
 
Wakuu,

Hii ndio aina ya masheikh tunawataka huko BAKWATA, sio kukaa kuandaa dua za kumuombea mama wakati wananchi wanateketea. Tunahitaji viongozi wa dini wanaohimiza uwajibikaji na utawala bora. Sio mtu anajitokeza anaongea upuuzi mpaka aibu unaanza kuona wewe!

====

Sheikh Ponda amesema;

Spika ameonesha ana wasiwasi na taarifa zinazotolewa na wananchi , akaonesha kwamba taarifa zile hazina uzito wowote ule. Katika hili tunapenda kumueleza kwamba sisi tunashangaa sana kusikia kwamba ana wasiwasi na taarifa za wananchi ambao wao ndio waathirika wakubwa sana?

Lakini unakuaje na wasiwasi wa taarifa usizingatie wito wa wananchi? Kwasababu wananchi wanaiomba bunge iunde tume ya uchunguzi, na kwa kufanya uchunguzi tutaweza kujua kwamba taarifa ile ya wananchi ni sahihi au siyo sahihi.

Hata kwenye Tweet niliyofanya juzi wito ulikuwa ni huo kwamba tunaomba tume ya uchunguzi yaani kwa maana kinachosisitizwa na wananchi ni kufanyika utafiti wa kina juu ya hali inayoendelea sasa hivi. Sasa mtu anayetoa taarifa uchunguzi ufanyike taarifa hiyo inatiliwa mashaka, mashaka gani sasa? Unatilia mashaka wito wa kutaka uchguzi ufanyike?

Lakini baya zaidi ni kwamba katika wasiwasi ule ukiangalia mahojiano ya Spika, amesimama upande wa wanaoteka kiasi kwamba amefanya uchambuzi kuonesha kwamba yawezekana kabisa taarifa zile hazina usahihi kwasababu ziko taarifa ambazo zilitokea nyuma na hazikuwa sahihi . Kwanini tufike hapo kwenye kufanya uchambuzi wakati sisi wito wetu ni kutaka tume iundwe na kufanya uchunguzi na kama taarifa zile zitaonesha sio sahihi, tume ndio itasema kwamba taarifa hazikuwa sahihi. Wewe wajibu wako ulikuwa kuitikiwa wito wa wananchi na kuunda tume.

Baya zaidi ni kuwa mtaani kuna taarifa nyingi za utekaji lakini bunge linaonekana halifahamu, matarajio ni kuwa sio lazima mpaka watu waliombe bunge kwasababu wabunge ni wawakilishi wa wananchi, wanaishi mtaani, walitakiwa wafahamu hali inayoendelea mtaani na wafanye kazi ya kuchukua hatua stahiki lakini leo imefika mahala bunge limekuwa kama chombo mahususi kipo pale lakini si kwaajili ya watanzania na kwamba ili liweze kufanya kazi inabidi wananchi wazingatie masharti fulani.

Ponda ameyasema hayo kwenye mahojiano na Jambo TV akiongelea kuhusu mahojiano ya Spika Tulia kuhusu utekaji na matukio ya watu kupotea yanayoendelea nchini.

Sheik Pondo ww ni mcha MUNGU spika ameamua kujigeuza kuwa zao la shetani shauri yake haya mambo huwa yanageuka.MUNGU anatupima na spika Yuko kwenye vipimo vya MUNGU.
 
Hii Nchi ina shida kubwa sana kuliko tunavyofikiri
 
Tusubiri shekh Mwaipopo naye atoe maoni yake 😀😀😀😀
 
Je Spika huyo si sehemu ya watekaji?
Tunamuweka upande huo huo kwa sababu anawakingia kifua maharamia.

Kungelikuwa na tume huru ya kibunge na kijaji na hadidu za rejea zikawa na uelekeo wa kuupata ukweli, 'mchawi' angelifahamika tu, sasa yeye hataki.

Raia tumweleweje sasa?

Yupo kutetea hoja yake kwa mifano ya stowaway waliowahi kupotea na kurudi, ambalo siyo mjadala wala kuwa kilio cha wananchi!

Mambo ya utekaji wa kina Soka, Sativa, Mdude na wenzao pamoja na mauaji ya mchana kweupe ya Mzee Kibao, kwake watu hao hakuna ushahidi wa kuweza kupelekea kuunda tume ya uchunguzi!

Yeye pamoja na anayeamrisha watu watekwe na kuuawa, wanafahamiana vizuri na agenda yao ni moja.
 
Watu wengi hawakumwelewa Sheikh Ponda kwasababu ya propaganda dhidi yake.

Kwasasa Umma unamwelewa vizuri sana, anaongea mambo ''very sensible''
Kaongea utadhani yeye ndiye Spika ! Dr Tulia kavurunda kikamilifu, intakiwa roho ngumu kumsikiliza.

Wasafi TV viwango vya watu wenu ni hafifu, wafunzeni kuhoji na si kutoa ''free air time'' mtu abwabwaje tu

JokaKuu
 
Back
Top Bottom