DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Alisema askofu sawa shehe njaa,alikua kwako kuomba chakula?Nini kimemsibu Shekh ponda kuporomoka kisiasa, ni udini au njaa?
Ponda wa sasa sio ponda wa miaka sita nyuma
Nimeuliza swali acha kupanic, wewe ungejibu sio njaa, vipi msumari umepenya?Alisema askofu sawa shehe njaa,alikua kwako kuomba chakula?
Yeye pia ni raia wa Tanzania,ana haki ya kutoa maoni yake
Hajawahi kuwa mwanasiasaNini kimemsibu Shekh ponda kuporomoka kisiasa, ni udini au njaa?
Ponda wa sasa sio ponda wa miaka sita nyuma
Nini kimemsibu Shekh ponda kuporomoka kisiasa, ni udini au njaa?
Ponda wa sasa sio ponda wa miaka sita nyuma
Kipindi analambwa risasi morogoro Rais alikuwa Muhindu?Rais akiwa mkristo utamuona sheikh Ponda
🤣🤣🤣Alisema askofu sawa shehe njaa,alikua kwako kuomba chakula?
Yeye pia ni raia wa Tanzania,ana haki ya kutoa maoni yake