PreGE2025 Sheikh Ponda: Wananunua Gari ya Mbunge Tsh. Milioni 400 wakati Mashine ya Kusafishia Damu Tsh. Milioni20

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ndiyo ajue kwamba muslim elite wa tanzagiza dont care about small poor people, anasa tu na social welfare for the rich, wanaita “kazi na utu” …
 
Alisema askofu sawa shehe njaa,alikua kwako kuomba chakula?
Yeye pia ni raia wa Tanzania,ana haki ya kutoa maoni yake
Nimeuliza swali acha kupanic, wewe ungejibu sio njaa, vipi msumari umepenya?
Ninachokiona mimi au nilikimaanisha shekh amepungua nguvu au mtetemesho ukilinganisha na siku za nyuma kama huwezi kutafsiri falsafa ufyate tu hakuna atake kuuliza,
Kuna sehemu niliandika kwamba alikuja kuomba chakula kwangu, acha kupayuka kama mbayuwayu wa mwituni, sinaga udini kwa taarifa yako that is why waislamu wakifanya vizuri nasema wakiliboronga nasema, wakristu the same.
SHAME ON YOU KUDANDIA TREN KWA MBELE
 
Reactions: apk
Atakuja kujutia uamuzi wa kushiriki baada ya kushiriki, huwezi kulizuia gari ukiwa umepanda ndani yake, aliyepo nje ndio anaweza kulizuia.
 
Shekh Ponda, yote haya utabakia kulalamika tu kama tulivyofanya toka mwaka 1995 enzi za Mrema hadi 2015 wakati wa mwendazake Pombe.

Dawa ya CCM ni kutoruhusu uchaguzi ufanyike bila reforms kufanyika.

Chama makini na mtanzania makini ni yuke anayepigania Reforms kwanza then uchaguzi ufuate.

Kamwe - huwezi mshinda CCM kwa hayo makaratasi ya wino mikononi - sahauni milele. Na ndiyo maana sasa hibi wanajiandaa kuunda serikali kama hamjui. Nchimbi sasa hivi analindwa ni Makamu wa Rais Bara tayari kama reforms hazitafanyika.

Na ndiyo maana ukisema No Reforms No Election ni mkuki tosha kabisa kwa CCM.

Ponda haupo sehemu sahihi kwa sasa.
 
Reactions: apk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…