the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Safi sana sheikh. MamaSamia2025 hakubaliki kuanzia msikitini, chamani hadi mtaaniSheikh Ponda amesema ameeleza kuwa watawala nchi hii wamekaa madarakani zaidi ya miaka 60 wmefikia hatua wanaona kuwa hii nchi ni mali yao.
View attachment 3270224
Sheikh Ponda Mungu alikuponya kwenye majaribio yale ya kuuawa uje kusema unayoyasema.Sheikh Ponda ameeleza kuwa watawala nchi hii wamekaa madarakani zaidi ya miaka 60 wamefikia hatua wanaona kuwa hii nchi ni mali yao.
Ameeleza kuwa ni muhimu kufanya mabadiliko kama mataifa mengine yafanyavyo ili kuleta maendeleo.
View attachment 3270224
Huyu Sheikhalways yuko straight kama TL.....hanaga price tag....wala mbambambaSheikh Ponda ameeleza kuwa watawala nchi hii wamekaa madarakani zaidi ya miaka 60 wamefikia hatua wanaona kuwa hii nchi ni mali yao.
Ameeleza kuwa ni muhimu kufanya mabadiliko kama mataifa mengine yafanyavyo ili kuleta maendeleo.
View attachment 3270224
uyu mzee huwa nampenda bure aiseeSheikh Ponda ameeleza kuwa watawala nchi hii wamekaa madarakani zaidi ya miaka 60 wamefikia hatua wanaona kuwa hii nchi ni mali yao.
Ameeleza kuwa ni muhimu kufanya mabadiliko kama mataifa mengine yafanyavyo ili kuleta maendeleo.
View attachment 3270224
Naunga hoja kwa 💯Kwa kweli Shekhe Ponda, hajawahi kuwa mnafiki hata siku moja. Daima amekuwa mkweli na mtetezi wa haki.
Siku nchi itakapokuja kuongozwa na watu wakweli, Shekhe Ponda atapata heshima anayostahili.