Pre GE2025 Sheikh Ponda: Watawala wamekaa sana madarakani kiasi kwamba wanaona wao ndiyo wamiliki wa nchi

Pre GE2025 Sheikh Ponda: Watawala wamekaa sana madarakani kiasi kwamba wanaona wao ndiyo wamiliki wa nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Sheikh Ponda ameeleza kuwa watawala nchi hii wamekaa madarakani zaidi ya miaka 60 wamefikia hatua wanaona kuwa hii nchi ni mali yao.

Ameeleza kuwa ni muhimu kufanya mabadiliko kama mataifa mengine yafanyavyo ili kuleta maendeleo.
 
Viongozi wa Dini wanatakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuwaambia ukweli Watawala.

Safi sana.
 
Sheikh Ponda ameeleza kuwa watawala nchi hii wamekaa madarakani zaidi ya miaka 60 wamefikia hatua wanaona kuwa hii nchi ni mali yao.

Ameeleza kuwa ni muhimu kufanya mabadiliko kama mataifa mengine yafanyavyo ili kuleta maendeleo.
View attachment 3270224
Sheikh Ponda Mungu alikuponya kwenye majaribio yale ya kuuawa uje kusema unayoyasema.

Sheikh ninayejivunia kama Muislam, walau na sisi tunaonekana wenye elimu na msimamo tofauti na wale Masheikh walio mifukoni mwa watawala wanaotutia aibu Waislam.
 
Kwa kweli Shekhe Ponda, hajawahi kuwa mnafiki hata siku moja. Daima amekuwa mkweli na mtetezi wa haki.

Siku nchi itakapokuja kuongozwa na watu wakweli, Shekhe Ponda atapata heshima anayostahili.
 
Kwa kweli Shekhe Ponda, hajawahi kuwa mnafiki hata siku moja. Daima amekuwa mkweli na mtetezi wa haki.

Siku nchi itakapokuja kuongozwa na watu wakweli, Shekhe Ponda atapata heshima anayostahili.
Naunga hoja kwa 💯
 
Huyu ndio mwanazuoni. Waislamu.wengi masheikh akina kundecha ni wanafiki kweli kama alivyokuwa Alhadi anakula pesa za makonda alipofukuzwa kazi.makonda alhadi akaanza kusema makonda ni nani bwana.
 
Hata Watoto wao wanaona ndio Warithi halali wa Nchi hii ambayo inaonekana mali ya Wazazi wao.

Poor Tanzania!
 
Back
Top Bottom