Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #21
Faru...Historia rasmi inayofundishwa Tanzania inatuambia Mwalimu Julius K. Nyerere alikuwa ni mmojawapo wa watu waliokuwa mstari wa mbele kabisa kupambana na ukoloni, na wala hata hiyo historia haitaji dini ya huyo mpambanaji
Nimesema historia inayofundishwa rasmi Tanzania haionyeshi haja ya kutaja dini za wapambania uhuru, sijazungumzia speech ya mwalimu Julius mwenyewe. Wewe historia zako zinataja dini za wapambanaji. Hata mimi ningekuwa na mamlaka serikalini nisingeruhusu kitabu cha historia kinachotamka kwamba wapambania uhuru wa nchi hii walikuwa ni wa dini fulaniNyerere kapata kusema Mkristo alikuwa yeye na John Rupia.
Faru...Nimesema historia inayofundishwa rasmi Tanzania haionyeshi haja ya kutaja dini za wapambania uhuru, sijazungumzia speech ya mwalimu Julius mwenyewe. Wewe historia zako zinataja dini za wapambanaji. Hata mimi ningekuwa na mamlaka serikalini nisingeruhusu kitabu cha historia kinachotamka kwamba wapambania uhuru wa nchi hii walikuwa ni wa dini fulani
Kumtaja mpigania uhuru ni sahihi na ndiyo historia yenyewe. Kumtaja mpigania uhuru na kuendelea mbele zaidi kusema wapigania uhuru wa nchi hii walikuwa Wakikuyu, hiyo si sahihi, ina lengo lake nyuma lenye nia ovu ya kugawa makabilaMfano mzuri ni kuandika historia ya uhuru wa Kenya ukakataa kumtaja Dedan Kimathi na Mau Mau ukihofu kuwataja Wakikiyu.
Kuhusu kutawaliwa Tanganyika iko huru na waliokuwa mstari wa mbele kabisa kupambana na ukoloni ni Waislam.
Faru...Kumtaja mpigania uhuru ni sahihi na ndiyo historia yenyewe. Kumtaja mpigania uhuru na kuendelea mbele zaidi kusema wapigania uhuru wa nchi hii walikuwa Wakikuyu, hiyo si sahihi, ina lengo lake nyuma lenye nia ovu ya kugawa makabila