Uchaguzi 2020 Sheikh Sharif Majini achukua fomu za Ubunge Handeni vijijini kupitia CCM

duuh, mbona naona vita za majini, mapepo, malaika, huu uchaguzi wa mwaka huu jpm ana kazi kubwa sana
 
Hakuna Sheikh wala Sharifu hapa...
Bali ni mlaji na mroho tu kupitia wajinga
 
Shetani (CCM) atakua amewakutanisha Wajumbe wake
 
Uchukuaji form unaendelea,yule mtoa majini maarifu Sheikh Sharrif Majini achukua form
 
Reactions: JMF
Watu kama hao ndio tunaowataka ili wadhihirishe umwamba wao. Sasa autumie majini kubadili wajumbe wampitishe na siku ya kura majini yakaibe kura zote. Baada ya hapo atakuwa na soko kubwa sana na atakuwa raisi ajae
 
Atayeshindana nae anaweza kutupiwa jini mahaba,muda wote anakua anataka anjunjwe tu(haijalishi ni mwanaume au mwanamke).
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…