Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ya DJ Mbowe tu, alipata zero secondary.YEHODAYA huyu Sharifu Majini ana elimu ya darasa la ngapi?
Masters ya kudunga viti maalum labda.Hata Mbowe ana Masters ila hapendi kujitangaza
ucha ukuda we kizeeMorogoro University!
Hahahaaaa.........!ucha ukuda we kizee
Hakuna Sheikh wala Sharifu hapa...Mgombea ubunge jimbo la Handeni vijijini Hussein Msopa maarufu kama Sheikh Sharif Majini ni mmoja wa wagombea walionitokeza leo na amefika ofisi za CCM wilaya ya Handeni kwa ajili ya kusalimia na baadae kuelekea ofisi ndogo ya CCM Mkata kuchukua fomu ya ugombea ubunge.
Bungeni patanoga huku Nabii Shilla hapa Sheikh Sharif majini kule askofu Gwajima Shetani lazima akimbie.
Maendeleo hayana vyama!
Shetani (CCM) atakua amewakutanisha Wajumbe wakeMgombea Ubunge jimbo la Handeni vijijini Hussein Msopa maarufu kama Sheikh Sharif Majini ni mmoja wa wagombea walionitokeza leo na amefika ofisi za CCM wilaya ya Handeni kwa ajili ya kusalimia na baadae kuelekea ofisi ndogo ya CCM Mkata kuchukua fomu ya kugombea Ubunge.
Bungeni patanoga huku Nabii Shilla hapa Sheikh Sharif majini kule askofu Gwajima Shetani lazima akimbie.
Maendeleo hayana vyama!
Watu kama hao ndio tunaowataka ili wadhihirishe umwamba wao. Sasa autumie majini kubadili wajumbe wampitishe na siku ya kura majini yakaibe kura zote. Baada ya hapo atakuwa na soko kubwa sana na atakuwa raisi ajae
[/QUOTE
Uchawi la majini ni myth tu.. ila haupo..
Huyu mganga Atakatwa kama wenzake ila atazuga majini yamekataa asiwe mbunge..
Sawa na gwajima nae atasema Roho mtakatifu amekataa asiende bungeni