hahaaa huyu kweli juha...SHEkhe sharifu majini tangu lini alikuwa akifnya mihadhara toka utotoni yaani ubongo wake umestack mpka hajui anayemzungumzia niyupi.Sharifu majini huyu anayeonekana channel 10? Kama ni huyu Mbona alikuwa muhuni tu wa pale mabibo. Au wewe unamzungumzia shekh Sharifu yule aliyeanza kuongea akiwa na siku moja
UKiwa verified user, unatakiwa uwe na hekima na busara. Vinginevyo, utaonekana kuwa ni verified user ambaye ni mjinga na mpumbavu.Kipindi cha mwaka 1988 Bwana Sharifu Majini aliletwa Mtaani kwetu Kilima, nyihogo hapa wilayani Kahama, akitokea Shinyanga. Alifikia kwa MAMA HINDU, Wakati huo wote tulikuwa watoto wadogo.
Sharifu Majini kipindi hicho alikuwa anavuma sana kama Malaika wa Mungu anayetenda miujiza akiwa mtoto, basi watu wengi wenye imani ya Kiislaam walimlaki sana. Alipofikia kwa MAMA HINDU ambapo baba yangu alikuwa amemwoa mtoto wa Mama Hindu Bi.Tausi (mama wa kufikia), nakumbuka Sharifu Majini alikaa karibia mwezi mzima kahama hapo kwa Mama Hindu akitembelewa na kutembezwa maeneo mbalimbali wilayani Kahama. Kalikuwa kanajidai sana, Mimi kalikuwa kana nikera mpaka basi.
Ilikuwa ikifika wakati wa kucheza Sharifu alikuwa hataki tuvae kaputula au Bukuta kwa mujibu wa imani ya Kiislaamu, Mimi siku moja nikavaa kaputula aliponiona akakasirika kweli akanishitaki kwa Bibi Mama Hindu ili nipigwe lakini alimwambia muache tu. Alikuwa ananiogopa sana huyu dogo utotoni.
Basi siku ingine akaja mtoto wa baba wa kufikia Atanasi amevaa kaputula, Sharifu alipomuona alipaniki sana na alikuwa amevaa kanzu, basi akaingiza mkono mfukoni akatoa Kisu vile vidogo vya kukunja ili amchome kwa kuvaa kaputula, Sharifu akanyanyua Kisu kumchoma Atanas ile anafikisha mwilini mwa Atanas kikajikunja na kumwachia maumivu mwenyewe. Hahahahaha nilicheka sana siku hio.
Mmoja wetu akamtania mbona MASHAKA(yaani Deo Kisandu) akivaa kaputula unamwogopa, Sharifu alikaa kimya akiwa na hasira Kisu kimemuumiza mwenyewe. Wakati huo Atanas amekwisha kimbia.
Kimsingi nimemkumbuka Yesu wa Islam Sheikh Sharifu Majini ambaye mtaa mzima alipoondoka alituacha akiwa ametumwagia Majini, wengine wakawa Vibaka wengine Vichaa wengine maisha yao yakaharibika, Mimi nikapelekwa kijijini. Yaani nikikumbuka huyu mgeni wetu wa utotoni na vunjaga mbavu sana.
Imaani ya Kiislaam lazima iangalie uvumilivu wa kuvumiliana na imani na mitazamo ya dini zingine ili tusichomane visu kisa swala la imani.
Deogratius Nalimi Kisandu.
4 January 2018.
Hizi Imani za Kisharifu,hususan hawa watt waliozuka na kudai kuwa wameongea utotoni katika zetu hizi,Kipindi cha mwaka 1988 Bwana Sharifu Majini aliletwa Mtaani kwetu Kilima, nyihogo hapa wilayani Kahama, akitokea Shinyanga. Alifikia kwa MAMA HINDU, Wakati huo wote tulikuwa watoto wadogo.
Sharifu Majini kipindi hicho alikuwa anavuma sana kama Malaika wa Mungu anayetenda miujiza akiwa mtoto, basi watu wengi wenye imani ya Kiislaam walimlaki sana. Alipofikia kwa MAMA HINDU ambapo baba yangu alikuwa amemwoa mtoto wa Mama Hindu Bi.Tausi (mama wa kufikia), nakumbuka Sharifu Majini alikaa karibia mwezi mzima kahama hapo kwa Mama Hindu akitembelewa na kutembezwa maeneo mbalimbali wilayani Kahama. Kalikuwa kanajidai sana, Mimi kalikuwa kana nikera mpaka basi.
Ilikuwa ikifika wakati wa kucheza Sharifu alikuwa hataki tuvae kaputula au Bukuta kwa mujibu wa imani ya Kiislaamu, Mimi siku moja nikavaa kaputula aliponiona akakasirika kweli akanishitaki kwa Bibi Mama Hindu ili nipigwe lakini alimwambia muache tu. Alikuwa ananiogopa sana huyu dogo utotoni.
Basi siku ingine akaja mtoto wa baba wa kufikia Atanasi amevaa kaputula, Sharifu alipomuona alipaniki sana na alikuwa amevaa kanzu, basi akaingiza mkono mfukoni akatoa Kisu vile vidogo vya kukunja ili amchome kwa kuvaa kaputula, Sharifu akanyanyua Kisu kumchoma Atanas ile anafikisha mwilini mwa Atanas kikajikunja na kumwachia maumivu mwenyewe. Hahahahaha nilicheka sana siku hio.
Mmoja wetu akamtania mbona MASHAKA(yaani Deo Kisandu) akivaa kaputula unamwogopa, Sharifu alikaa kimya akiwa na hasira Kisu kimemuumiza mwenyewe. Wakati huo Atanas amekwisha kimbia.
Kimsingi nimemkumbuka Yesu wa Islam Sheikh Sharifu Majini ambaye mtaa mzima alipoondoka alituacha akiwa ametumwagia Majini, wengine wakawa Vibaka wengine Vichaa wengine maisha yao yakaharibika, Mimi nikapelekwa kijijini. Yaani nikikumbuka huyu mgeni wetu wa utotoni na vunjaga mbavu sana.
Imaani ya Kiislaam lazima iangalie uvumilivu wa kuvumiliana na imani na mitazamo ya dini zingine ili tusichomane visu kisa swala la imani.
Deogratius Nalimi Kisandu.
4 January 2018.
HahahahVipi kile kitu kigumu bado kipo matakoni???