Sheikh Sharifu Mikidadi alikosa kosa kumchoma mtu kisu utotoni Mimi Deo Kisandu nikampanchi

Inasemekana huyu mtu ni tapeli hatare saaana! amkeni ndugu achaneni na utapeli wa huyu mtu. Pigeni goti kwa muumba wenu tu!
 
Yaani mwenzako anakoswakoswa na kifo wewe unasema ulicheka sana na kumkebehi? Kweli wewe hamnazo! Je kama kile kisu kisingejikunja huyo Atanas angepona? Na wewe ungeendelea kucheka? Au ulikuwa unataka amjeruhi mwenzake? Fikiri kabla ya kuandika ujinga wako, unaweza ukajikuta mahali pabaya.
 
Sharifu majini huyu anayeonekana channel 10? Kama ni huyu Mbona alikuwa muhuni tu wa pale mabibo. Au wewe unamzungumzia shekh Sharifu yule aliyeanza kuongea akiwa na siku moja
hahaaa huyu kweli juha...SHEkhe sharifu majini tangu lini alikuwa akifnya mihadhara toka utotoni yaani ubongo wake umestack mpka hajui anayemzungumzia niyupi.
huyo anayemzungumzia hapo ni shekhe sharifu mikidadi mwenyeji wa tabora ..ambaye kwa sasa anaishi dar ..zamani alikuwa anazunguka kwenye mihadhara nakina mazinge na dk.sule na baadhi ya mashekhe wengine nimewasahau majina ..sema naskia nae sikuhizi kawa mpigaji tu namnamo mwaka juzi alipatwa na skendo ya ngono yakutembea na mke wamtu ...shekhe majini huyo nimjanja mjnja tu mtoto wa town nae mpigaji kinyama...ukijichangnya bhasi manyoya. .
 
Kipindi cha mwaka 1988 Bwana Sharifu Majini aliletwa Mtaani kwetu Kilima, nyihogo hapa wilayani Kahama, akitokea Shinyanga. Alifikia kwa MAMA HINDU, Wakati huo wote tulikuwa watoto wadogo.

Sharifu Majini kipindi hicho alikuwa anavuma sana kama Malaika wa Mungu anayetenda miujiza akiwa mtoto, basi watu wengi wenye imani ya Kiislaam walimlaki sana. Alipofikia kwa MAMA HINDU ambapo baba yangu alikuwa amemwoa mtoto wa Mama Hindu Bi.Tausi (mama wa kufikia), nakumbuka Sharifu Majini alikaa karibia mwezi mzima kahama hapo kwa Mama Hindu akitembelewa na kutembezwa maeneo mbalimbali wilayani Kahama. Kalikuwa kanajidai sana, Mimi kalikuwa kana nikera mpaka basi.

Ilikuwa ikifika wakati wa kucheza Sharifu alikuwa hataki tuvae kaputula au Bukuta kwa mujibu wa imani ya Kiislaamu, Mimi siku moja nikavaa kaputula aliponiona akakasirika kweli akanishitaki kwa Bibi Mama Hindu ili nipigwe lakini alimwambia muache tu. Alikuwa ananiogopa sana huyu dogo utotoni.

Basi siku ingine akaja mtoto wa baba wa kufikia Atanasi amevaa kaputula, Sharifu alipomuona alipaniki sana na alikuwa amevaa kanzu, basi akaingiza mkono mfukoni akatoa Kisu vile vidogo vya kukunja ili amchome kwa kuvaa kaputula, Sharifu akanyanyua Kisu kumchoma Atanas ile anafikisha mwilini mwa Atanas kikajikunja na kumwachia maumivu mwenyewe. Hahahahaha nilicheka sana siku hio.

Mmoja wetu akamtania mbona MASHAKA(yaani Deo Kisandu) akivaa kaputula unamwogopa, Sharifu alikaa kimya akiwa na hasira Kisu kimemuumiza mwenyewe. Wakati huo Atanas amekwisha kimbia.

Kimsingi nimemkumbuka Yesu wa Islam Sheikh Sharifu Majini ambaye mtaa mzima alipoondoka alituacha akiwa ametumwagia Majini, wengine wakawa Vibaka wengine Vichaa wengine maisha yao yakaharibika, Mimi nikapelekwa kijijini. Yaani nikikumbuka huyu mgeni wetu wa utotoni na vunjaga mbavu sana.

Imaani ya Kiislaam lazima iangalie uvumilivu wa kuvumiliana na imani na mitazamo ya dini zingine ili tusichomane visu kisa swala la imani.

Deogratius Nalimi Kisandu.
4 January 2018.
UKiwa verified user, unatakiwa uwe na hekima na busara. Vinginevyo, utaonekana kuwa ni verified user ambaye ni mjinga na mpumbavu.
Mind you, Ujinga na Upumbavu si tusi, ila ni maneno wapewayo watu wanaotakiwa kujifunza ili kufahamu zaidi kile ambacho wanacho-kipumbazikia.
Hapy New Year Mr. Deogratius Nalimi Kisandu.
 
Kipindi cha mwaka 1988 Bwana Sharifu Majini aliletwa Mtaani kwetu Kilima, nyihogo hapa wilayani Kahama, akitokea Shinyanga. Alifikia kwa MAMA HINDU, Wakati huo wote tulikuwa watoto wadogo.

Sharifu Majini kipindi hicho alikuwa anavuma sana kama Malaika wa Mungu anayetenda miujiza akiwa mtoto, basi watu wengi wenye imani ya Kiislaam walimlaki sana. Alipofikia kwa MAMA HINDU ambapo baba yangu alikuwa amemwoa mtoto wa Mama Hindu Bi.Tausi (mama wa kufikia), nakumbuka Sharifu Majini alikaa karibia mwezi mzima kahama hapo kwa Mama Hindu akitembelewa na kutembezwa maeneo mbalimbali wilayani Kahama. Kalikuwa kanajidai sana, Mimi kalikuwa kana nikera mpaka basi.

Ilikuwa ikifika wakati wa kucheza Sharifu alikuwa hataki tuvae kaputula au Bukuta kwa mujibu wa imani ya Kiislaamu, Mimi siku moja nikavaa kaputula aliponiona akakasirika kweli akanishitaki kwa Bibi Mama Hindu ili nipigwe lakini alimwambia muache tu. Alikuwa ananiogopa sana huyu dogo utotoni.

Basi siku ingine akaja mtoto wa baba wa kufikia Atanasi amevaa kaputula, Sharifu alipomuona alipaniki sana na alikuwa amevaa kanzu, basi akaingiza mkono mfukoni akatoa Kisu vile vidogo vya kukunja ili amchome kwa kuvaa kaputula, Sharifu akanyanyua Kisu kumchoma Atanas ile anafikisha mwilini mwa Atanas kikajikunja na kumwachia maumivu mwenyewe. Hahahahaha nilicheka sana siku hio.

Mmoja wetu akamtania mbona MASHAKA(yaani Deo Kisandu) akivaa kaputula unamwogopa, Sharifu alikaa kimya akiwa na hasira Kisu kimemuumiza mwenyewe. Wakati huo Atanas amekwisha kimbia.

Kimsingi nimemkumbuka Yesu wa Islam Sheikh Sharifu Majini ambaye mtaa mzima alipoondoka alituacha akiwa ametumwagia Majini, wengine wakawa Vibaka wengine Vichaa wengine maisha yao yakaharibika, Mimi nikapelekwa kijijini. Yaani nikikumbuka huyu mgeni wetu wa utotoni na vunjaga mbavu sana.

Imaani ya Kiislaam lazima iangalie uvumilivu wa kuvumiliana na imani na mitazamo ya dini zingine ili tusichomane visu kisa swala la imani.

Deogratius Nalimi Kisandu.
4 January 2018.
Hizi Imani za Kisharifu,hususan hawa watt waliozuka na kudai kuwa wameongea utotoni katika zetu hizi,

Ni utapeli na Uislam upo mbali na wao na mambo yao

Uislam umekuja kwa misingi yake maalum iliyomadhubuti

Uislam unakataza Shirki kwa namna zake zote

Uislam,upo mbali na Ushirikina na watu wake

Hakuna kheri,kwa mtu anaejinasibisha na Uislam,kisha akawa mshirikina
Hakuna kheri kwake hapa Duniani na kesho Akhera
 
Back
Top Bottom